kwa degree hiyo ajiaandae tu kuja uraini kukata viuno kwenye promotion za safari lager, serengeti light na flying fish.Asubuhi nlipita hapo NIT kuna mwali nlienda kumwachia kidogo kitu ili afurahie degree yake ya marketing and public relation
Maisha hayapo mzeee huwezi jua yy kajipangajekwa degree hiyo ajiaandae tu kuja uraini kukata viuno kwenye promotion za safari lager, serengeti na flying fish.
inshort hata aje kugawa papuchi kwa maofisa wa kampuni,taasisi na mashirika yenye maslahi mazuri, hatoajirika.
huku mtaani kuna maelfu ya vijana majobless wenye degree hiyo.
Kwahyo mkuu ulitaka awaambie acheni chuo mje mtaani kusota...?Kuna zile fake promise za mauncle utasikia ukimaliza tuu chuo niambie nikutafutie kazi😂😂
Ange fanya kimya kimya, ingempunguzia machungu huko mbelekwa degree hiyo ajiaandae tu kuja uraini kukata viuno kwenye promotion za safari lager, serengeti light na flying fish.
inshort hata aje kugawa papuchi kwa maofisa wa kampuni,taasisi na mashirika yenye maslahi mazuri, hatoajirika.
huku mtaani kuna maelfu ya vijana majobless wenye degree hiyo.
ramli hiyo mzee. reality is ajira hakuna period.Maisha hayapo mzeee huwezi jua yy kajipangaje
Usimpe mtu expectation za uongo then baadae unaacha kupokea simu, so nawewe unasapoti huo upuuzi?Kwahyo mkuu ulitaka awaambie acheni chuo mje mtaani kusota...?
Anatembea kifua mbele na joho akijua uncle ana connectionKuna zile fake promise za mauncle utasikia ukimaliza tuu chuo niambie nikutafutie kazi[emoji23][emoji23]
Baba Levo tayari ana jinaramli hiyo mzee. reality is ajira hakuna period.
babalevo and dotto magari are good marketers than those graduates with degrees in marketing.
chuo gani wanasomea kubeba mabox mvunja barafu hebu tuambie😂Maisha lazima yaendelee na kila mtu ana mipango yake,
Ajali za Ndege zinatokea ila watu hawaachi kusafiri,Ndoa zina matatizo ila watu hawajaacha kuoa au kuolewa Ajali za Magari kila siku ila kila siku watu wananunua Magari,
Maisha lazima yaendelee,kila mtu angekua na mawazo kama yako basi hakuna kitu kingekua kinafanyika hapa Duniani coz kila kitu kina faida na hasara zake.
Hivi unajua vijana wenye kazi ni rahisi zaidi kupata kazi kuliko wale wasiokuwa nazo?Tuwaache kwanza
Kiukweli kumaliza chuo ni hatua pia maana ni wengi waliishia njiani
Acha wafurahi,na tuvumilie kuona picha za majoho mwezi huu wote
Baadaye akili zitarudi kwenye default mode na watatuunga mkono kuugulia maumivu ya ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila Mtu ana namna yake ya kuaproach maisha mm nilichosoma na kinachonipatia mkate wangu ni vitu viwili tofauti kbsramli hiyo mzee. reality is ajira hakuna period.
Nini faida ya kuvaa joho na kufanya mahafali?Maisha lazima yaendelee na kila mtu ana mipango yake,
Ajali za Ndege zinatokea ila watu hawaachi kusafiri,Ndoa zina matatizo ila watu hawajaacha kuoa au kuolewa Ajali za Magari kila siku ila kila siku watu wananunua Magari,
Maisha lazima yaendelee,kila mtu angekua na mawazo kama yako basi hakuna kitu kingekua kinafanyika hapa Duniani coz kila kitu kina faida na hasara zake.
Penda kutafuta furaha wakati wote maana huzuni inakuja muda wowote bila hata kuitafuta.....chukua hiyo mkuuHakuna haja yakuacha chuo.
Ishu ni kwanini ufanye mahafali na unajua hutafanyia kazi hicho unachokishangilia?