Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

We mpumbav mi naongea nlichoweka sio wewe msikia story niambie wewe bank gan inatoa riba zaid ya 6% ? Mimi nitume fixed documents umu na wewe utume unaongea lugha za kifala wakat Huna experience mzee
Mkuu upo?

Jamaa kaweka kweli fixed documents. 50,000,000 cash muamala wake πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡.



Tunakusubiri na wewe uweke ili mpambano unoge.

Kwa mkwara na matusi uliyokuja nayo natumaini hutaikimbia hii mechi 😁😁😁
 
Hakuna biashara nzuri kama ya kwenye makaratasi,yaani kila kitu kinaserereka kiulani,ingia field sasa ndio utakiona cha moto...
 
Dahh, mkuu umeniokoa kimazo... Asante sana mkuu
 
Unafungua
Unafungua
Unafungua? Eeeeeeh?

Akili makalio
 
Pombe hizi kama smart gin au double kick au pub mzee
Bar tena kubwa kwa 10 million unafungua mtaji wa pombe za kumwaga hauzidi 1 million zingine ni za matengenezo ya jengo n.k

N.B sio mjini ndio maana nikasema aseme nimpe location apige hela kwa miaka miwili zikimtosha apite kushoto hatalipia hata senti 1 kwa serikali
 

Kaka nimesema kwa mwaka ni 6% wewe umeweka kwa miaka miwil 11% sasa apo ambacho huelewi nn ? Ina mana kwa hao TCB kwa mwaka riba yao ni 5.5% mkuu...
 

Hiii match ndogo sana kwangu nitakuwekea yangu nipe muda
 

[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ni miaka miwili umekurupuka mzeee mi nlishakwenda apo kipind inaitwa TIB mzee riba yao ikawa 5.5% per annum [emoji28][emoji28]


Acha kukurupuka mzee
 
Mkuu kama hutojali nambie zaidi kuhusu hizi bra
 
Nbc ulikwenda na kiasi gan mzee? Mana mi walinambia 4%
Nilichokuja kugundua wale jamaa wa mabenki wako flexible sana inapokuja issue ya pesa hasa inategemeana wako desperate kiasi gani kulingana na mahitaji ya pesa wakati huo. Ilifikia kipindi wakawa wananipigia simu nikiwa home ili nisighairi kuweka kwao toka NMB.

Wakati naenda kusaini cheti/mkataba wangu niliona kwenye daftari watu wana rate tofauti tofauti. Kuna mdau aliweka 100M kwa 4% nikashangaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…