Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?


TCB ama TIB zamani riba yao per year ni 5.5 sasa ulichonibishia sijui ni kipi mzee wangu
 
Motivational speakers bwana,wazuri sana kwenye makaratasi,matikiti 5000 tufanye kila tikiti uuze 1000,utapata pesa kiasi kikubwa,blah blah mingi kwenye makaratasi,kazi ni kuhamisha haya maandishi yako kwenye uharisia
 

Yes we umenikubusha kitu kipind Nipo field bank moja hiv walikua na shida sana na deposit kipind hicho ivo walipandisha sana kiwango cha riba wakat huo na kwa kiwango flan cha pesa
 
Mzeya nielekeze wapi naweza pata mzigo wa chupi na bra na mie nianze hiyo biashara nina mtaji wa laki sita
 
Mwambie anikumbushe.asubuhi nimtumie vipeperu ndio atajua😂😂😂😂
 
Nenda utt weka kwenye mfuko wa liquidy fund unaweza pata kuanzia 70000 mpaka laki na usheee kwa mwezi na hela unaweza kutoa wakati wowote unaotaka ndani ya siku tatu hela inakuwa kwenye akaunti yako, achana na fixed deposity za benk mkui
naomba muongozo kwa hili
 
Hio ni 50M na sio 10M...na ni ya 24 months sio 12 months. Kwa kiasi chake 10M kwa mwaka interest rate inarange 2.5 mpk 5 tu
Mkuu ingia branch yeyote ya TCB ni 11% per annum lakin mkataba unakua wa miaka 2 kwa hiyo kwa miaka 2 utalamba 22% utaondoa asilimia 10 ya gawio lote kama kodi. Hivi vitu mbona rahisi hata ukipiga huduma kwa wateja
 
[emoji3578][emoji3578]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…