Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Mkuu habari
 
We nawe tumia mpososo wako vizuri, we hiuo biashara ya vyupi hadi ushinde hapo, utt unaweka mzigo unasepa mwisho wa mwezi unakinga debe lako, mara waaa 70K
 
mkuu jifunze kwenye mambo yako yote usitangulize fikra za kufeli mbele, jiamini omba mungu, waswahili wanasema awazalo mjinga..... Utamalizia
Mimi nafanya biashara za usafirishaji ,najua changamoto zake.Umepiga hesabu kama vile:- hakuna service,dereva haumwi,mabao ya trafki,Kula mzinga(Ajali) n.k
Biashara zote Zina changamoto zake,Siyo kama mnavyo dhani au Kupiga hesabu kwenye karatasi.
 
Mimi nafanya biashara za usafirishaji ,najua changamoto zake.Umepiga hesabu kama vile:- hakuna service,dereva haumwi,mabao ya trafki,Kula mzinga(Ajali) n.k
Biashara zote Zina changamoto zake,Siyo kama mnavyo dhani au Kupiga hesabu kwenye karatasi.
hatujakataa hilo mkuu ila ninachokataa mimi binafsi ni kutanguliza mikosi kwenye biashara kwasabab ndio mwanzo wa kukata tamaa
 
Changamoto kila sekta zipo hazikwepeki, ila ukija ukaanza kunitajia majanga na mabalaa ya huko barabarani unamaanisha nin? Si nisifanye au? Kwan wewe na wengne munaofanya hamuogopi hzo fain, kuibiwa? Chombo kupata ajali? Mbona hamuachi? Basi nae aje tu na atumie hzo changamoto kujifunza.
 
hatujakataa hilo mkuu ila ninachokataa mimi binafsi ni kutanguliza mikosi kwenye biashara kwasabab ndio mwanzo wa kukata tamaa
Hakuna anayependa yamkute ,ila yapo na yanatokea.Kama Ningekuwa mwoga basi nisingekuwa na biashara ya usafirishaji.Matarajio.yasiwe makubwa kupitiliza...Maisha ni kujaribu na kuwa hodari na shujaa mwingi.
 
Kama mwanaume,utakiwi kuwa mwoga wakujaribu na hata ukianguka unabidi urudi tena kwenye mapambano.Mimi nachoongea matarajio yawe Kwa kiasi .. mtu anajua kuwa biashara ya bajaji itamletea 20000 Kila siku, lakini Kuna siku haifikii hiyo hesabu au Kuna service za kufanya n.k

Daima usiache kujaribu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ni miaka miwili umekurupuka mzeee mi nlishakwenda apo kipind inaitwa TIB mzee riba yao ikawa 5.5% per annum [emoji28][emoji28]


Acha kukurupuka mzee
Unanijibu mimi tena?

Kamjibu mliyekuwa mnatunishiana naye misuli huko...

Mi nachochea moto tu ili zipigwe 😁😁😁

Au jamaa amekuogopesha na muamala wa 50 million?

...na wamesema hapo kwenye risti yake kwamba rate ni 11% paid monthly na period ni 24 months (2yrs). Anyway haya ni mambo yenu matajiri mtajuana huko ila kwa mikwara uliyoingia nayo nilifikiri utamnyorosha na vimilioni vyake 50 mapema tu 😁😁😁
 

[emoji28]
 
Bodaboda no kupoteza muda tuu
 
Tupe somo mkuu. Beginers tufatilia huu uzi kwa makini sana.
 
Mwamba kaleta risiti 50m kawapa watu kwa mwezi wanampa 412,500 hesabu nyepesi tu.
 
Tupe wengine hii tunaweza kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…