Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Mkuu biashara ya vinywaji mkuu Ni aina gan I wish nipate uzoefu wa hii biashara mkuu.Yani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****
Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
Kaka nimesema kwa mwaka ni 6% wewe umeweka kwa miaka miwil 11% sasa apo ambacho huelewi nn ? Ina mana kwa hao TCB kwa mwaka riba yao ni 5.5% mkuu...
Kuhamisha 100m kutoka crdb kwenda TCB itakugharimu kiasi gani?Wewe kumbe unafuatilia sana mambo ya bank. CRBD niliweka million 100 wakati wameitangaza ile offer lakini nawaza kuvunja mkataba nihamie TCB kuvuna 11%.
Kuhamisha 100m kutoka crdb kwenda TCB itakugharimu kiasi gani?
Kwa aliye na ufahamu mzuri na UTT naomba anifahamishe kidogo.
Ikitokea jamaa kaweka hiyo 10M kwa mwezi gawio kiasi gani ili tulinganishe na fixed za mabenki yenye rate nzuri?
Haya tumekusikia motivation speaker,wewe unafanya boashara gan kwa sasa10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.
Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.
Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua
Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Akituma unitagNimetuma tayari....tuma na za kwako tuone wewe mwerevu.
Matajiri wenye pesa nyingi ndo wana-park pesa zao huko UTT ama ama bond za BOT. Sisi wengine tunaona hasara tu kuweka pesa hukoYani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****
Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
Anafanya kuchungulia tuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu upo?
Jamaa kaweka kweli fixed documents. 50,000,000 cash muamala wake [emoji116][emoji116][emoji116].
View attachment 2660490
Tunakusubiri na wewe uweke ili mpambano unoge.
Kwa mkwara na matusi uliyokuja nayo natumaini hutaikimbia hii mechi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ingia field kwanza baadae uje ushukuruDahh, mkuu umeniokoa kimazo... Asante sana mkuu
😁😁😁Anafanya kuchungulia tuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni vizuri uende uwasikilize mwenyewe, hii taasisi ya serikali.Mkuu naomba maelezo mahsusi juu ya hili. Na je hao utt hawana utapeli?
Hataki10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.
Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.
Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua
Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Biashara ya kwenye makaratasi huwa zinachekesha sana hivi we umeshawahi kumpa mtu pikipiki hata boda moja ukajaribu hiyo biashara ukaona uhalisia wake?10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.
Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.
Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua
Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Akituma unitag
Nauza genge la nyanya na tingo wa daladala pia fundi saidia position yangu ya kuchimba vyoo😂😂Haya tumekusikia motivation speaker,wewe unafanya boashara gan kwa sasa
Kuna mtu nilimpa mchongo 2014 mtaji ilikuwa million 2 tu lakini mwaka ilikuwa tupate million 10 hadi 50. Jamaa alinicheka sana alinambia mwanangu mtoto wa kishua wewe unataka kufanya biashara ya kimaskini hio. Mwaka 2020 jamaa amekuja Oohh nilikudharau ile biashara ulosema kuna mwanangu kajenga na sasa ana Harrier anatutesa mtaani tu. Nilinyamaza kimya nikatabasamu na kuondokaHataki
Business is not for everyone
Unafikiri Kila mtu ana moyo WA kusubiri faida ya buku buku?
Mkuu nimezaliwa kwenye biashara namiliki biashara kwenye familia yangu hakuna aliekuwa hafanyi biashara( biashara ni damu yetu) hapo nimetoa mfano sijasema awekeze kwenye bodaboda.Biashara ya kwenye makaratasi huwa zinachekesha sana hivi we umeshawahi kumpa mtu pikipiki hata boda moja ukajaribu hiyo biashara ukaona uhalisia wake?
Mkuu tusaidie ni bank gani hizo zenye kutoa hizo rate za mpaka 11%nilicho gundua humu ndani kuna watu wako nyuma sana kwenye masuala haya ya Fixed deposit account/fixed deposit reserve (fdr)
kuna kampuni zinapewa rates za 10% mpaka 11% ama 11.5 % tena kwa miezi mitatu tuu (3)
sasa kuna mshamba mmoja ata toka uko na povu kukataa hili!..
Matajiri kama nani brother?Matajiri wenye pesa nyingi ndo wana-park pesa zao huko UTT ama ama bond za BOT. Sisi wengine tunaona hasara tu kuweka pesa huko