heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kusema kweli ndioo watu kitu atuna ila linapokuja suala la uzazi lazima uwe na saving mpka mtoto aanze kutembea mama atakuwa bize na mwanae ata kazi kufanya labda ndogo ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nna miaka26 sasa na natak mwakan nioe tu Maana sina hata mtoto na nnajtahd npambane ingalau niwe na nafuu ya maisha ila wap! Hvo najirusha mzm mzm hvohvo kwenye kuoa nafanykaz had naanza kuumwa nkifka home nianze tena sjui kupka dah yn hpn nmechok.Tunapokosea ndiyo hapo
1.Huna kitu unaoa
2.Huna kitu unazaa
Hii dunia ukiiletea masihara lazima ikuumbue
Bongo ni shida sana. Kuna wengine walisema ohh ngoja nizae mapema ingawa sina kitu mwisho wa siku wanalea hadi wajukuu maana wamatelekezewa watoto na watoto wao ambao walishindw1 kuwale vizuriAkikuita bibi na unauwezo wa kumpa furaha ya maisha shida nini?
Kama nilijua tu utaleta pigo zako za kiwaki😂😂Tunapokosea ndiyo hapo
1.Huna kitu unaoa
2.Huna kitu unazaa
Hii dunia ukiiletea masihara lazima ikuumbue
😂😂😂🙊 kumbe!?Kama nilijua tu utaleta pigo zako za kiwaki😂😂
😂😂😂mulemule.Bongo ni shida sana. Kuna wengine walisema ohh ngoja nizae mapema ingawa sina kitu mwisho wa siku wanalea hadi wajukuu maana wamatelekezewa watoto na watoto wao ambao walishindw1 kuwale vizuri
Kumbe waolea kupikiwa?😝😘Mm nna miaka26 sasa na natak mwakan nioe tu Maana sina hata mtoto na nnajtahd npambane ingalau niwe na nafuu ya maisha ila wap! Hvo najirusha mzm mzm hvohvo kwenye kuoa nafanykaz had naanza kuumwa nkifka home nianze tena sjui kupka dah yn hpn nmechok.
Mtoto si nguo utaomba mtu, mtoto sio kanzu utaazimisha mtunipe mtoto wa kwanza huyo nikusaidie kulea.
Niko Mwanza
Hili jina lako lilivyo upewe mtoto ulee kweli?nipe mtoto wa kwanza huyo nikusaidie kulea.
Niko Mwanza
Hela nikose na utulivu wa nafsi nikose acha basi Mungu hakupi vyote 😅hela huna na kula naniliu uogope😂😂😂🙊 kumbe!?
😂😂😂😂Hela nikose na utulivu wa nafsi nikose acha basi Mungu hakupi vyote 😅hela huna na kula naniliu uogope
Maisha sio majaribio lakini lazima yaendeleeeBas kusiwepo na kupiga yowe mkuu,maisha siyo majaribio....utaishia kuwatesa mke na watoto
VizuriMaisha sio majaribio lakini lazima yaendeleee
Nini kitampata mkuu?Uwe unahama na mkeo la sivyo..