Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

Kusema kweli ndioo watu kitu atuna ila linapokuja suala la uzazi lazima uwe na saving mpka mtoto aanze kutembea mama atakuwa bize na mwanae ata kazi kufanya labda ndogo ndogo
 
Tunapokosea ndiyo hapo
1.Huna kitu unaoa
2.Huna kitu unazaa
Hii dunia ukiiletea masihara lazima ikuumbue
Mm nna miaka26 sasa na natak mwakan nioe tu Maana sina hata mtoto na nnajtahd npambane ingalau niwe na nafuu ya maisha ila wap! Hvo najirusha mzm mzm hvohvo kwenye kuoa nafanykaz had naanza kuumwa nkifka home nianze tena sjui kupka dah yn hpn nmechok.
 
Chalii angu haya maisha ww acha tu nmehama mikoa na mikoa ili nipate hata unafuu wa life ila bdo tu ,nkipata demu nmwambia staki mimba sababu maisha siyaelewi, Mwakani nataka nahamie Mwanza nikaone na huko.
 
alafu mwezi wa kwanza unakuwaga mgumu lakini cha kushangaza this time ugumu umeanza mwisho wa mwaka
 
upo mkoa gani...! broh usikate tamaa😭😭 jitahidi sana kadri ya uwezo wako. ukiona hiyo kazi haikulipi badili aina ya kazi
 
Akikuita bibi na unauwezo wa kumpa furaha ya maisha shida nini?
Bongo ni shida sana. Kuna wengine walisema ohh ngoja nizae mapema ingawa sina kitu mwisho wa siku wanalea hadi wajukuu maana wamatelekezewa watoto na watoto wao ambao walishindw1 kuwale vizuri
 
Bongo ni shida sana. Kuna wengine walisema ohh ngoja nizae mapema ingawa sina kitu mwisho wa siku wanalea hadi wajukuu maana wamatelekezewa watoto na watoto wao ambao walishindw1 kuwale vizuri
😂😂😂mulemule.
 
Mm nna miaka26 sasa na natak mwakan nioe tu Maana sina hata mtoto na nnajtahd npambane ingalau niwe na nafuu ya maisha ila wap! Hvo najirusha mzm mzm hvohvo kwenye kuoa nafanykaz had naanza kuumwa nkifka home nianze tena sjui kupka dah yn hpn nmechok.
Kumbe waolea kupikiwa?😝😘
 
Back
Top Bottom