Jamaa amefeli sana, mwanamke ndio anatakiwa ku bow, ndio maana hata ndoa nyingi zinayumba sikuhizi! Mwanamume kuweka hisia mbele badala ya logic ni ufala!Yani hata nyie mnavyoendelea kuliongelea hapa Mi linanikereketa sana yani wanaume sijui tumekuaje yani
Ndio ubaya wa mwanamke mwenye jimwili kabla hajashusha engine! Madem free size ndio wanakaaga vizuri wakizaa yani anazidi kuwa mtamu maradufu. Kitako kinaongezeka kidogo huku mwili unatanuka kidogoHuyu akizaa mtoto mmoja tu itakuwa fuso tandamu
Umekubaliwa umaarufu, kwa wale wenye macho makaliSio kwa wembamba huo na ufupi!! Amshukuru Mungu kakubaliwa....
Kwa uandishi huu..inaonesha wewe ni mpiga magoti maarufu sanaMimi huyu eti nimpigie magoti mwanamke, harafu na mahari nitoe, harafu ahamie kwangu, harafu nimlee kama mwanangu, harafuuu... Mimi huyu???
Instanbul... In Senga Voice
Joan TemuMchumba wa Nikki wa II anaitwa nani?
Lina ukweli kiasi flaniBora atulie maana alikua na mawenge sana kila day anampost post huyo demu.
Itakua anaona kama ndo demu mkali. Itakua hajawai kupata demu mkali kama huyo ndo mana alikua na pepe nyingi
Binti alikuwa analiwa na kigogo mmoja awamu ya nne au kaishiwa huyo mzee
anhaa sawa sawa mkuu asante kwa kunifahamishaJoan Temu
Sasa hivi vijana wameamua kuoa mijishangazi tu.
Ni kweli alipaswa kuipaka rangi hiyo nyumba hata kopo mojaBasi chuo kikuu hakija mkomboa kama ndio hivyo... Mshana Jr yupo sahihi kuna matukio kwenye maisha yako tokea umezaliwa unayafanya mara moja tu nayo ni siku moja tu tena muda mchache kwanini usiyafanye yawe ya kipekee
Hili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
hizo avatar mtatufanya tusijenge sasaNa hako kamwili kake kama kanabakwa
Calm down bro,agrrrh kwani does it make any changes kwenye kipato or anything profitable in the family.you guys should learn how not to judge other on what you believe.Unampigiaje magoti mtu unayeenda kumlala?!...huko kwetu mwanamke hata akija kuleta maji ya kunawa anapiga yeye magoti haiwezekani mwanaume umpigie mwanamke goti hata kwa kitu gani hata baba mkwe wako atakuona boya akufukuze hapohapo