Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Haya mtwara tuwape mzunguko

Mbeya tuwape zambia

Kigoma tuwape burundi

Kagera tuwape rwanda na uganda

Mara tuwape kenya

Arusha tuwape kenya

Tanga tuwape mombasa

Mtanzania km wewe ni mfano wa watanzania wengi ambao akili zao ni mgando (wamekulia kwenye ufukara wengi wao)

Wewe unataka mtu kigoma afanane tabia na mtu wa morogoro?
...

Nchi zilizoendelea zinawaza kuongeza mpaka wewe fukara wa akili unawaza kuachilia ardhi kwasababu tu waha wanafanana lafudhi na wahindi? Idiot!
Huko wanawaonea tu kuwaweka Tanzania. Hiyo ni Burundi.

Hata tabia zao za kirundi rundi. Ni mijitu isiyokuwa na staha kama Mwijaku vile.
 
mmmh hii koment inafikirisha sana mkuu
 
Aisee au kwa sababu migebuka ni mitamu sana ndio maana ni buku teni ila nachopendea mkoa wa kigoma ukiwa na laini Burundi ukiwa na buku 2 unapata gb 3 mchana na usiku ukiwa na buku 3 internet ni bure kuanzia saa 6 usiku hadi asubuhi kuliko vifurushi vya bongo ambavyo ni kausha damu
 
Mtanzania km wewe ni mfano wa watanzania wengi ambao akili zao ni mgando (wamekulia kwenye ufukara wengi wao)

Wewe unataka mtu kigoma afanane tabia na mtu wa morogoro?
...
Ila hakuna sehemu nimeandika kuwa unapaswa uamini nilichoamini kiasi cha kuleta personal attacks.

Ungeweza kuandika mtazamo wako pasi kudhihaki uelewa wangi.

By the way maisha ni mafupi mno kuchukulia kila jambo seriously hasa mambo ya mtandaoni.

Najua maisha ni magumu chief, jaribu kutohusisha dhiki zako na watu wengine, unaweza jikuta unachukia dunia nzima.

PEACE..................🕊️
 
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokua naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na shinyanga.

Kifupi kigoma haina sura mbaya hivo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 naziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepo kama uji, pia nimepita anapoishi mwijaku kaaah ni haki watu wahuku wawe na midomo sana !! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
Karibia pale Kasulu kuna Bwami hotel nyota 3 hutajuta.
 
Huko wanawaonea tu kuwaweka Tanzania. Hiyo ni Burundi.

Hata tabia zao za kirundi rundi. Ni mijitu isiyokuwa na staha kama Mwijaku vile.
Kwa hiyo mpaka uanzie wapi maana hata uwe Dodoma bado wagogo wataitwa si watanzania kumbuka hata warundi wa mpakani nao huambiwa ni watanzania,wacongo,wanyarwanda..
 
Wewe ni mjinga usiyejitambua

Ila hakuna sehemu nimeandika kuwa unapaswa uamini nilichoamini kiasi cha kuleta personal attacks.

Ungeweza kuandika mtazamo wako pasi kudhihaki uelewa wangi.

By the way maisha ni mafupi mno kuchukulia kila jambo seriously hasa mambo ya mtandaoni.

Najua maisha ni magumu chief, jaribu kutohusisha dhiki zako na watu wengine, unaweza jikuta unachukia dunia nzima.

PEACE..................[emoji2731]
 
Huko wanawaonea tu kuwaweka Tanzania. Hiyo ni Burundi.

Hata tabia zao za kirundi rundi. Ni mijitu isiyokuwa na staha kama Mwijaku vile.
Sio watu wote wa kigoma wanatabia za hovyo wenye tabia za hovyo kule ni warundi na baadhi ya waha na baadhi ya watu wa makabila mengine yaliyoko kule na watu wenye tabia za hovyo wapo karibu kila sehemu Tanzania
 
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokua naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na shinyanga.

Kifupi kigoma haina sura mbaya hivo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 naziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepo kama uji, pia nimepita anapoishi mwijaku kaaah ni haki watu wahuku wawe na midomo sana !! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
Kwahiyo unataka kusema SUMBAWANGA,RUVUMA ni pabaya?

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwatisha watu wewe kigoma ni moja ya mikoa ya Tanzania ambako gharama za maisha bado ziko chini hata mtu wa kipato Cha kawaida anaweza kuingia kwenye hoteli kubwa na maarufu za pale kigoma akapata chakula na akaweza kulipia gharama za chakula bado ziko chini kigoma usiwaongopee watu, alafu alikotokea chawa wa taifa mwijaku ni Kijijini ulitegemea kwamba huko Kijijini kwao pawe kama "daslama"
 
Back
Top Bottom