Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Aisee au kwa sababu migebuka ni mitamu sana ndio maana ni buku teni ila nachopendea mkoa wa kigoma ukiwa na laini Burundi ukiwa na buku 2 unapata gb 3 mchana na usiku ukiwa na buku 3 internet ni bure kuanzia saa 6 usiku hadi asubuhi kuliko vifurushi vya bongo ambavyo ni kausha damu
Hapa naona changamoto ni kutoka kigoma kwenda Burundi kujiunga kifurushi.

Au sio mbali?
 
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokua naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na shinyanga.

Kifupi kigoma haina sura mbaya hivo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 naziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepo kama uji, pia nimepita anapoishi mwijaku kaaah ni haki watu wahuku wawe na midomo sana !! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Karibia pale Kasulu kuna Bwami hotel nyota 3 hutajuta.

IMG_0528.jpg
 
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokua naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na shinyanga.

Kifupi kigoma haina sura mbaya hivo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 naziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepo kama uji, pia nimepita anapoishi mwijaku kaaah ni haki watu wahuku wawe na midomo sana !! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
Naona umeupaka mkoa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Huko wanawaonea tu kuwaweka Tanzania. Hiyo ni Burundi.

Hata tabia zao za kirundi rundi. Ni mijitu isiyokuwa na staha kama Mwijaku vile.
Nakataaa warundi Wana heshima Na wanyenyekevu Sana Yan East Africa hakuna watu humble Wenye heshima kama warundi
 
Hapa naona changamoto ni kutoka kigoma kwenda Burundi kujiunga kifurushi.

Au sio mbali?
Wewe Mwananchi B umenichekesha sana eti au sio mbali? Unajua ukiwa Tunduma boda ya Tz na Zambia network ya airtel Zambia inasoma, likewise iko possiblity ya network ya Burundi kusoma baadhi ya maeneo Kigoma.
 
Back
Top Bottom