Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokua naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na shinyanga.
Kifupi kigoma haina sura mbaya hivo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 naziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani
Mji umepo kama uji, pia nimepita anapoishi mwijaku kaaah ni haki watu wahuku wawe na midomo sana !! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.