Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokua naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na shinyanga.

Kifupi kigoma haina sura mbaya hivo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 naziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepo kama uji, pia nimepita anapoishi mwijaku kaaah ni haki watu wahuku wawe na midomo sana !! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
Kuna mgombea mmoja wa urais mwaka 2010 alituahidi kuigeuza Kigoma kuwa Dubai. Mpaka leo huwa nikimuona, huwa natamani kunywa pombe, maana huwa najicheka sana. Niliamini sana alichokuwa akisema. Hata sasa hivi najipiga kifua na ninasema mimi FALA kwa kuamini wanasiasa! 😅😅😅😅
 
Acha kuwatisha watu wewe kigoma ni moja ya mikoa ya Tanzania ambako gharama za maisha bado ziko chini hata mtu wa kipato Cha kawaida anaweza kuingia kwenye hoteli kubwa na maarufu za pale kigoma akapata chakula na akaweza kulipia gharama za chakula bado ziko chini kigoma usiwaongopee watu, alafu alikotokea chawa wa taifa mwijaku ni Kijijini ulitegemea kwamba huko Kijijini kwao pawe kama "daslama"
Gharama za maisha ziko chini ukilinganisha na wapi? Maskini gani anaweza kulipia migebuka kwa 25000 hotelini? Nguo dukani ziko juu sana tofauti na kwingine. Kifupi,gharama za maisha Kigoma ziko juu sana isipokuwa nauli za treni daraja la tatu C
 
Kigoma kuna mama alijifungua kifaranga cha kuku
Watu waliokufa na kuzikwa kurudi nyumbani baada ya muda au kuonekana tena mtaani hayo ndiyo mambo kigoma
Sijawahi kuupenda uwo kwa namna yoyote.
Mhhh! Taratibu mkuu. Ya kweli hayo? Au ndie zile story za wakina Juma Njemba ?
 
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama Sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na Shinyanga.

Kifupi Kigoma haina sura mbaya hivyo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 na ziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepoa kama uji, pia nimepita anapoishi Mwijaku kaaah ni haki watu wa huku wawe na midomo sana!! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
Hizo bei ulizozishangaa, kwa mfano, juisi ya muwa, hiyo 1,000/- ni kwa lita ngapi?
 
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama Sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na Shinyanga.

Kifupi Kigoma haina sura mbaya hivyo inayoonekana. Ila pia kuna vitu ni gharama haka kamkoa
1. Juice ya muwa 1000. Kaah hiki ni kitu nimeshindwa kushangaa
2. Wali maharage elfu mbili. Nimeshtuka sana
3. Wali mgebuka elf 10 na ziwa tanganika lipo nyuma tu
So labda ukale migahawa ya kajambanani

Mji umepoa kama uji, pia nimepita anapoishi Mwijaku kaaah ni haki watu wa huku wawe na midomo sana!! Kwa bei hizi za vyakula lazma uwe tu mpigania uhuru wa chakula.
Vp kuhusu mipalangee
 
Jiandae vema,si pazuri sana kama tunavyosimuliwa. Nilikaa siku nne tu Mwitongo Hotel nikakimbilia zangu Mwanza kumalizia mapumziko yangu
Nitafikia huko kwa masister, huwa sina mambo mengi
 
Back
Top Bottom