Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Hapa naona changamoto ni kutoka kigoma kwenda Burundi kujiunga kifurushi.

Au sio mbali?
 
Huko wanawaonea tu kuwaweka Tanzania. Hiyo ni Burundi.

Hata tabia zao za kirundi rundi. Ni mijitu isiyokuwa na staha kama Mwijaku vile.
Watu wa kule wana roho ngumu mbaya na sio wakarimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Naona umeupaka mkoa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Huko wanawaonea tu kuwaweka Tanzania. Hiyo ni Burundi.

Hata tabia zao za kirundi rundi. Ni mijitu isiyokuwa na staha kama Mwijaku vile.
Nakataaa warundi Wana heshima Na wanyenyekevu Sana Yan East Africa hakuna watu humble Wenye heshima kama warundi
 
Hapa naona changamoto ni kutoka kigoma kwenda Burundi kujiunga kifurushi.

Au sio mbali?
Wewe Mwananchi B umenichekesha sana eti au sio mbali? Unajua ukiwa Tunduma boda ya Tz na Zambia network ya airtel Zambia inasoma, likewise iko possiblity ya network ya Burundi kusoma baadhi ya maeneo Kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…