Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

Nyie limbukeni wa Dar mkizunguka zunguka hapo Dar basi mnajua Mkoani hakuna maisha na mkimezeshwa stori za ujinga Huwa mnajiona wajanjaaa kumbe zero brain kabisa.
 
Ni mkoa ambao sijawahi kuwaza kutembelea
 
Mkuu naskia huko kigoma walimu wamepigika kweli kweli hawana hili wala lile vichwa vimejaa vumbi
 
Wali samaki 10k??? (migebuka nibjina tu) .what a joke?!!
 
Kigoma kuna mama alijifungua kifaranga cha kuku
Watu waliokufa na kuzikwa kurudi nyumbani baada ya muda au kuonekana tena mtaani hayo ndiyo mambo kigoma
Sijawahi kuupenda uwo kwa namna yoyote.
 
Wewe Mwananchi B umenichekesha sana eti au sio mbali? Unajua ukiwa Tunduma boda ya Tz na Zambia network ya airtel Zambia inasoma, likewise iko possiblity ya network ya Burundi kusoma baadhi ya maeneo Kigoma.

Ili network ya Zambia isome ukiwa tunduma ni lazima uwe Karibu kabisa na gate la kuingilia Kama unaenda Zambia, hivyohivyo hata kwa Kigoma mtandao wa Burundi utasoma Kama upo Manyovu ila sio Kigoma mjini anayoielezea Mtoa mada. Kigoma mjini ni mbali sana kutoka mpakani.
 
 
....Ndugu zangu nipo Tanga, wapi naweza pata bint wa kidigo fundi anitoe uchovu, nijionee hiyo waja leo waondoka mwakani[emoji3][emoji3]
heheheeee usithubutu.. bafuni utaenda umebebwa bila nguo unakalishwa kwa kigoda then "mbupu" zinawekwa kwa sahani na kuoshwa kwa maji vuguvugu af as. utakuta nguo zimelowekwa ndo bhaaasi hutoki teeena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…