Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Hata sasa ninafanya biashara, ninachokueleza ni kweli tupu ila kwasababu umeamua kufumba macho huwezi kuelewa kabisa.Sorry: ulishafanya biashara yoyote?
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sasa ninafanya biashara, ninachokueleza ni kweli tupu ila kwasababu umeamua kufumba macho huwezi kuelewa kabisa.Sorry: ulishafanya biashara yoyote?
#YNWA
Kumbe wee Ni kiaz HV unasema mganga anaomba kwa Nani Mbna una majibu ya kipuuz HV kama wee na familia yenu Ni washirikina nenda huko Kama unaona watakuokoa kwenye biashara zako1. Nina watoto wawili wako Shule...
Mmoja darasa la 3 mwengine kaanza la kwanza.
Wote wapo Dar wanasoma Private, Kazi yangu ni kutuma ada na school bus fees.
2. Nisiende kwa waganga ila NIMUOMBE MUNGU [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
MGANGA huwa anamuomba nani?
Nakumbuka nilisoma mwaka wa 1 bachelor kwenye foundation of Faith (African religous Vs. western religoous facts).
Anyway MUNGU YUPO.
#YNWA
#YNWA
Ona hii jinga😂😂😳😳😳 Nimuombe msamaha Allah, NIMEFANYA KOSA GANI?
#YNWA
Kumbe wee Ni kiaz HV unasema mganga anaomba kwa Nani Mbna una majibu ya kipuuz HV kama wee na familia yenu Ni washirikina nenda huko Kama unaona watakuokoa kwenye biashara zako
Je lini umewahi kufanya tour kwenye maduka mengine au wale wateja wako wanauzaje kwa Sasa HV na Ni Wapi wanapata mzigo hujawi wee uko hapa kuomba uungwaji mkono juu ya uganga
Na Bado itadorora Hadi umtafute mwamposa alipo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa kukufahamisha mwanadamu hapati janga lolote isipokuwa kutokana na chumo la mikono yake.
Hivyo vitu mara nyingi haviendi Pamoja.Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...
Umempatia wazk zuri sema naona tayari Imani yake iko rigid akadai kuwa Ana masters amesoma vitabu vya robati kiyosaki as if ni guarantee ukivisoma unatokaHivyo vitu mara nyingi haviendi Pamoja.
USHAURI
Watengenezee Ofa ya Valentine mwezi huu. Punguza kidogo faida yako wape Offer. Hii pia iwe mbinu ya kuzungumza na Wateja wako(Yaani upate cha kuanzia kuongea na Mteja wako kwenye Simu). Jaribu hili kwa Wiki hii then uone Mwitikio wa Wateja wako. Wajulishe hii Offfer wale wateja wako WAKUBWA wengi kuliko wadogo.
Hakuna mganga zaidi ya MUNGU. Usidanganywe na hao Washikaji zako.
Mwisho kabisa Mkuu Liverpool VPN , Magumu huyapitii peke yako kaka, na hakuna ambaye hajatoka mbali. Just Relax hizo ni changamoto za kawaida saaaaaana katika Biashara. Ulitakiwa uanze kuwa na Mashaka endapo hio hali itaendelea for 3 months consecutive.
Hivyo vitu mara nyingi haviendi Pamoja.

yaani january ambayo kila mtu analia pesa zote zimeenda mashuleni hata wenye mabasi ya abiria wamepunguza mabasi barabarani kwa sababu abiria ni wachache, hilo umeshindwa kuliona, umeanza kulia na kutamani kwenda kwa wachawi. Pole sana.....watu kama wewe ndiyo mnaamini ushirikina kuliko uhalisia.MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.
INTRODUCTION:
Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...
Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu.
Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara ya vinywaji ya Jumla na rejareja (jina la mtaani tunaita Depo).
Nilikusanya mtaji nikiwa tayari nina idea na ilipofika mil 9 nikafungua depo.
Mil 6 bidhaa na mil 3 sunk cost kama kodi, Matengenezo frame na mengine yale ya maandalizi ya biashara.
Nauza vinywaji vyotee vikali na baridi, kwa jumla na reja reja, na kwasasa biashara yangu ina mtaji wa mil 25.
SCENARIO
Biashara ilianza vizurii mpaka nikawa nadata, yaani wateja walikuwa wengii.
Hawa wakani-force kukuza mtaji fasta mpaka kufika hizo mil 25.
Pia nikawa na vijana wa3 wa dukani, yaani ni fast delivery. Yaani mteja akikata tu simu basi bidhaa ipo mlangoni mwake.
Aisee nilipata jina fasta na kubwaa sanaa.
Mauzo yangu yalikuwa makubwa ya mil 3 Kwa siku na siku nisipouza yalikuwa hayashuki mil 1.
Kwasasa Nina Miaka kadhaa kwenye biashara (from July 2020).
Ila ndugu sasa biashara sielewi..
PROBLEM
Tokea January 2023 BIASHARA IMEKUWA NGUMU mnooo.
Mauzo mil 1 Tena jana ndio Majanga, nimefunga na laki 5..!!!
Pia hapa Nina miamala ya simu, na juzi (01/02) nililipwa commission ya 150k kwa mitandao yotee mi 4.
Wakati nilifika commison ya laki 5 kwa mitandao yote mi4.
Wateja simu sizioni, wakati Kuna kipindi walikua wanapiga simu mpaka saa 7 usiku kuniomba niwauzie bidhaa.
Hiyo saa 7 usiku watakukodia boda utakuja kufungua store utawauzia, wanakulipa na boda inakurudisha gheto kwa gharama zao.
Nina masters na bachelor ya mambo ya biashara, hivyo nimejaribu marketing skills kibao kama za kutuma sms kila asubuhi kuomba order kwa wateja, kupost status za WhatsApp ila 2023 bado ngumu kwenye biashara.
Sasa nimeshauriwa na raia NIENDE KWA MTAALAMU NIKAPIKWE.
Naambiwa, nilikua na nyota kalii hivyo competitor wameona waizime ili wao wauze.
DILEMA
Nimedata mwenzenu, ukicheki hii biashara ndio naitegemea kuwa ndio tobo la kunifanya nije kuachana na ajira za serikali ya CCM ila MBELE NAONA GIZA.
Nina mengi aisee siwezi kuandika yote, mfano: siku hizi nafungua saa 1 kamili asubuhi na kufunga saa 5 usiku.
Na hata kazini (halmashauri) nimepasusa naona pananichanganya tu (wiki yotee hii (Tokea 30/01)SIJAFIKA KAZINI.
KUHUSU VITABU-
Hivi vitabu sijui vya Robert koyasaki na wengine NIMESOMA SANAAA.
Tokea 2020 nishasoma vitabu kama 30 hivi vya mambo ya biashara na fedha na Robert Koyasaki pekee yake ni vitabu vi5 kuanzaia Rich Dad mpaka Money Quadrant.
Vingi vinazungumzia "Kwenye financial world Usikate tamaa, pambana"" ila nahisi Kuna kamba ipo nyuma ya mapambano yangu inanivuta nyuma.
NAPAMBANA NYIE...
1. Muda wote duka nalifanya safi
2. Rangi zinavutia (mashelf na ukuta)
3. Kama elimu, Nina degree mbili za biashara (bachelor + masters)
4. Kama ni experince, nishauza sanaa biashara za watu Tena bila mshahara (kipindi najifunza biashara)
5. Kama ni ukarimu, basi ni mkarimu sanaa. Humu Kuna watu wawili tulishaongea sanaa Japo kwa simu (kama wako comfortable wanaweza thibitisha hapa).
Kifupi nafanya mengii ila 2023 imekua ngumu.
Imefikia mpaka kupunguza wafanyakazi dukani kutoka 3 mpaka 1..!!!
Na kilichonifanya nipost ni baada ya commision kushuka kutoka 500k mpak 150k kwa Jauary/2023.
Huwezi amini:-
Jumapili ya wiki hii sikufungua, ili tu nione upepo wa wateja, ila chakusangaza mpaka unaingia usiku sijapokea simu hata ya mteja mmoja kulalamika "Mbona nimefunga"
Kwasasa sijui si-exist kwenye phone book zao..!! Niko kudata balaaa yaani waliokuwa wakinipigia simu usiku nao hawapigi hata mchana..!!!
Kazini sijaenda wiki maana kichwa ni cha moto balaaa.
Nipeni mawazo wajasiliamali wenzangu.
Nipeni mawazo wafanyabiashara wenzangu.
Nishapitia msoto mkubwa sanaa kwenye maisha ya uyatima, kazini, kwenye ujana wangu ila Jambo gumu linapogusa biashara NADATA KABISAAAA.
Nahitaji kuacha Kazi na hili ndio TOBO LANGU.
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI?
#YNWA
Ni kweli kuna jamaa yangu ana biashara ya usafirishaji kwasasa kayasimamisha. Ni kipindi tuyaani january ambayo kila mtu analia pesa zote zimeenda mashuleni hata wenye mabasi ya abiria wamepunguza mabasi barabarani kwa sababu abiria ni wachache, hilo umeshindwa kuliona, umeanza kulia na kutamani kwenda kwa wachawi. Pole sana.....watu kama wewe ndiyo mnaamini ushirikina kuliko uhalisia.
Acha imani potofu wewe! Hata mimi pia ni mdundulizaji, natokea Tanga! Lakini sijatanguliza hizo imani za kishirikina. Huko ukienda utaishia tu kupigwa, na kupotea mazima.MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.