Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

Hizi njozi nyingine zinatokana nashibe ilio pita kiasi.
 
Sasa mbona miji yote itageuka majiji?????
 
Mkuu unaongelea Singida gani maana kutokana na report ya mapato Singida kila mwaka aikosekani kwenye nafasi zile Tano za mikoa yenye mapato madogo
 
Arusha imeingiaje humu,tunajadili geita,mji umejaa vumbi mitaa haina lami,lami ni moja tu ya mwatolole naile ya kwenda nyankumbu,mnazidiwa hata na chato kijiji cha juzi tu kina stand kubwa na barabara safi
Umefika Geita lini ? Tuambie ni mtaa upi hapo mjini hauna lami ? Pole sana maana unacoment uharo mtupu. Kojoa ukalale
 
Geita inazidiwa mishe mishe na kata ya katoro labda mademu wenye UTI ndio mnaongoza
Hiyo Singida ina mishe gani kuzidi Katoro ? Singida ni mkoa toka 1963 na Geita imekuwa mkoa tangu 2012 ! Unafananishaji Geita na Singida ? Hata hivyo Hiyo Singida yako haioni ndani kwa Geita kuanzia idadi ya watu hadi ukubwa wa mji kwa sasa. Hutaki kajinyonge.
 
Dah! Nimependa uwasilishaji wako wa kifasihi.
Ningependa kujua hivi Una undugu na yule Mwandishi wa kile kitabu kinaitwa "A man of the people"??
Mnafanana Sana uwasilishaji wenu.
Binafsi nilitaka kushangaa alichoandika mdau. Ila baada ya kusifia international airport nikafunguka akili. Bonge LA fasihi.
 
Memory yangu kubwa ya utotoni ni pale babu alipotupeleka Coco Beach mwaka 1988. Vishada kibao angani, watu na mapira ya kuogelea na wazungu wa kutosha. Sidhani kama nitawahi kushuhudia nyomi iliyochangamka kama ile, beach yoyote hapa Tz kwa maisha yangu yaliyobaki. Sitasahau ile experience.
 
Hata wilaya ya chemba ipewe hadhi ya jiji.
 
Arusha imeingiaje humu,tunajadili geita,mji umejaa vumbi mitaa haina lami,lami ni moja tu ya mwatolole naile ya kwenda nyankumbu,mnazidiwa hata na chato kijiji cha juzi tu kina stand kubwa na barabara safi
Chato ilikuwa inakwenda kasi sana, so muda ingeipiku mikoa mingi tu hapa Tz.
 
Itakuwa wewe umetokea Lindi... Na hujawahi fika mjini kabisa
mkuu nilikua lindi wiki iliyopita...hakika huu ndio mkoa wa mwisho kimaendeleo, mkoa umezubaa hatari
 
Duh,mitaa yetu hiyo na hapo utemini nimeondoka we ndo unaanza
 
Mkoa unakuaje Jiji?

Sijui kama watu huwa wanaelewa maana ya hivi vitu Mkoa, Wilaya, na Halmashauri za Wilaya, Manispaa, Majiji n.k

Wanachanganya mnoo
 
Umefika Geita lini ? Tuambie ni mtaa upi hapo mjini hauna lami ? Pole sana maana unacoment uharo mtupu. Kojoa ukalale
Nietembea robo tatu ya mikoa ya tanzania
Hapa nipo geita mjini ila mji siuelewi kabisa
Huu ni mkoa au wilaya
Mitaa yake haisomeki
Ghorofa la otonde ndio kivutio pekee cha huu mkoa
Magogo, ,nyankumbu,shelabela,mkoani,ggm, kote ovyo tu,stendi zero kabisa.barabata za mitaa vumbi,hakuna mji pale
 
Eti ni chanzo kikubwa cha msosi nchini. Yaani vitunguu na alizeti ndo chakula?

Kuna jamaa kakwambia ongeza mawanda ya fikra kwa kutembelea mikoa mingine.
 
Wejamaa watanzania wanakusoma kwa makini!..... mana kila anayesoma anakusikitikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…