Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kuna nini mkuu [emoji16]Unaongea upuuzi gani ..jichanganye sas kalime vitunguu au fungua duka ndio utajuwa singida iko vip
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini mkuu [emoji16]Unaongea upuuzi gani ..jichanganye sas kalime vitunguu au fungua duka ndio utajuwa singida iko vip
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizi njozi nyingine zinatokana nashibe ilio pita kiasi.Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja,mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.
Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.
Hitimisho lako !!!![emoji134]Shida iliyopo hapo Singapore ni low population, bad weather, low flow of money na mwisho watu wa Singapore ni wavivu.
Sasa mbona miji yote itageuka majiji?????Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja,mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.
Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.
Mkuu unaongelea Singida gani maana kutokana na report ya mapato Singida kila mwaka aikosekani kwenye nafasi zile Tano za mikoa yenye mapato madogoNiko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja,mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.
Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.
Umefika Geita lini ? Tuambie ni mtaa upi hapo mjini hauna lami ? Pole sana maana unacoment uharo mtupu. Kojoa ukalaleArusha imeingiaje humu,tunajadili geita,mji umejaa vumbi mitaa haina lami,lami ni moja tu ya mwatolole naile ya kwenda nyankumbu,mnazidiwa hata na chato kijiji cha juzi tu kina stand kubwa na barabara safi
Hiyo Singida ina mishe gani kuzidi Katoro ? Singida ni mkoa toka 1963 na Geita imekuwa mkoa tangu 2012 ! Unafananishaji Geita na Singida ? Hata hivyo Hiyo Singida yako haioni ndani kwa Geita kuanzia idadi ya watu hadi ukubwa wa mji kwa sasa. Hutaki kajinyonge.Geita inazidiwa mishe mishe na kata ya katoro labda mademu wenye UTI ndio mnaongoza
Binafsi nilitaka kushangaa alichoandika mdau. Ila baada ya kusifia international airport nikafunguka akili. Bonge LA fasihi.Dah! Nimependa uwasilishaji wako wa kifasihi.
Ningependa kujua hivi Una undugu na yule Mwandishi wa kile kitabu kinaitwa "A man of the people"??
Mnafanana Sana uwasilishaji wenu.
Memory yangu kubwa ya utotoni ni pale babu alipotupeleka Coco Beach mwaka 1988. Vishada kibao angani, watu na mapira ya kuogelea na wazungu wa kutosha. Sidhani kama nitawahi kushuhudia nyomi iliyochangamka kama ile, beach yoyote hapa Tz kwa maisha yangu yaliyobaki. Sitasahau ile experience.Oh my God! Dont remind me of childhood memories. Singida is always in my heart.
Nakumbuka mwaka 1992 wakati naenda kuanzishwa darasa la kwanza shule ya msingi Utemini...
Nakumbuka siku moja moja baba akitupeleka Singida motel au Stanley motel kupata soda...
Nakumbuka miaka hiyo tukienda na baba kununua vijisamaki ziwa Singidani...
Nikifa, kama msiponizika Kola, Morogoro, basi mnizike Singida...
Anapiga kavu! Akapime miwaya aisee.Kijna angu Yuko Apo ameuguwa gono mkp anajiogopa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Chato ilikuwa inakwenda kasi sana, so muda ingeipiku mikoa mingi tu hapa Tz.Arusha imeingiaje humu,tunajadili geita,mji umejaa vumbi mitaa haina lami,lami ni moja tu ya mwatolole naile ya kwenda nyankumbu,mnazidiwa hata na chato kijiji cha juzi tu kina stand kubwa na barabara safi
mkuu nilikua lindi wiki iliyopita...hakika huu ndio mkoa wa mwisho kimaendeleo, mkoa umezubaa hatariItakuwa wewe umetokea Lindi... Na hujawahi fika mjini kabisa
Duh,mitaa yetu hiyo na hapo utemini nimeondoka we ndo unaanzaOh my God! Dont remind me of childhood memories. Singida is always in my heart.
Nakumbuka mwaka 1992 wakati naenda kuanzishwa darasa la kwanza shule ya msingi Utemini...
Nakumbuka siku moja moja baba akitupeleka Singida motel au Stanley motel kupata soda...
Nakumbuka miaka hiyo tukienda na baba kununua vijisamaki ziwa Singidani...
Nikifa, kama msiponizika Kola, Morogoro, basi mnizike Singida...
Nietembea robo tatu ya mikoa ya tanzaniaUmefika Geita lini ? Tuambie ni mtaa upi hapo mjini hauna lami ? Pole sana maana unacoment uharo mtupu. Kojoa ukalale
Eti ni chanzo kikubwa cha msosi nchini. Yaani vitunguu na alizeti ndo chakula?Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.
Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.
Wejamaa watanzania wanakusoma kwa makini!..... mana kila anayesoma anakusikitikia!Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.