Niko Uganda, timu yao imefuzu AFCON ila sijasikia Mseveni akisifiwa wala kuongelewa

Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia, TShirt zenye picha ya Mama zingetengenezwa.
faster

TFA wangekuja na taarifa rasimi ya kusifu na kuabudu.

UVCCM wangeisha andaa maandamano maalumu ya kumpongeza Mama.

View attachment 3152819
Iwe mwanzo na mwisho Kumfananisha Rais Yoweri Kaguta Museveni Tibuhaburwa na Wapumbavu wengine uwajuao.
 
ELIMU ELIMU ELIMU
Nchi ya wajipendekezao kazi kusifu hovyo.
Saivi mavijana mengi yanataka pesa za kishetani basi nikumsifu tuu majinsi mtandaoni...
Very stupid!!!
 
downloadfile.jpg
 
Unadhani kila taifa linaendekeza uchawa kama Tanzania iliyolaniwa.
 
Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia, TShirt zenye picha ya Mama zingetengenezwa.
faster

TFA wangekuja na taarifa rasimi ya kusifu na kuabudu.

UVCCM wangeisha andaa maandamano maalumu ya kumpongeza Mama.

View attachment 3152819
Kwani Uganda nao ni wajinga?
 
Back
Top Bottom