Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Hiyo miaka 10 utakuwepo jumlisha 60?
 
Hapo mchawi ni mfumko wa bei, au inflation,
 
Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
Ni kwamba, hizo ni gharama za mitandao ya simu au wakala wa kuihamisha pesa lakini sio gharama za UTT kuweka pesa.

Hata kwenye benki ulizozitaja kwamba ni Bure, Bado Kuna gharama ya usafiri na muda utatumia kwenda benki, ni gharama.

Anachomaanisha mleta mada ni UTT kutokutoza pesa unapoweka pesa zako kwao.
 
Mkuu chukua hiyo milioni moja irisk kwenye kukopesha kinyamera kwenye kila ten weka riba ya 2000 kwa mwezi alafu fanya kwa mwaka uone itaingiza kiasi gani.

Nb: The higher the risk the higher the return and vice versa
 
WAKIKUDABA UNAKOPESHA HAILETI UTATA
 
Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
sijawai kuweka kwa kutumia simu
Pia ni vizuri ungetuambia makato ni sh ngap

Maana hata kuingia Menu yao ni bure ila kama unatumia au umeunga na namba ya tigo.
Kama umeunga na mtandao mwingine wanakata 20.
Kwaiyo kama una sh 100 utaangalia mara 5 ni gharam ndogo.
So unachagua kati ya bure na gharama ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…