KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Status
Not open for further replies.

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Wakuu kheri kwenu nyote.

Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable).

Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO hizi nyimbo zimo kwenye katiba ama mikataba ya wafanyakazi wenu?

Maana hata kama maboss wao wapo tena Hao maboss ndo huchukua jukumu la kuwa rekodi video wakiimba hizi nyimbo. Ukweli mnatutia aibu sana hasa tukiwa na familia zetu.

Kuna siku niliitwa kwenda sehemu kwa kaka kabla sihafika kwake nilisikia nyimbo zikiimbwa kwa nguvu zote nazo zile nyimbo zilikuwa za mtusi mtupu. Mfano wa nyimbo hizo ni kama " Zaina zaina (zaina) mtoto wa kifalme (zaina )
mwenye k ndogo zainaaa. Hii nyimbo ilirudiwa mara kadhaa kiasi kwamba hata watoto walianza kuiimba.

Visa ni vingi sana nilivyowahi sikia. Ajabu ni kwamba wakikuona unapita karibu yao na una mtu wa jinsia ya kike hapo sasa utasindikizwa na miruzi huku nyimbo ile ikirudiwa rudiwa kwa nguvu zaidi.

Naombeni sana muwambie vijana wenu hizi nyimbo zao waimbe wakiwa maporini huko na sio kwenye makazi ya watu. wanatutia aibu sana kwenye family zetu asee.

Kwani hamna nyimbo zingine za kuimba nje na matusi?

Tafadhari inatosha sasa na mbadirike. AHSANTENI SANA.
Screenshot_20241207-191759_1.jpg
 
Tulishajaribu kubeba nguzo huku tunaimba nyimbo za kistaarabu kama ile
"Sina makosa wee mamaa🎶
"Wataka kuniua bure mamaa🎶
Kwangu hayupoo🎶
Sijui nini na niniiii🎶

Nguzo ilikua nzito kinoma hadi tulivyoanza kuimba matusi ndo ikawa nyepesi
 
Wakuu kheri kwenu nyote.

Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable).

Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO hizi nyimbo zimo kwenye katiba ama mikataba ya wafanyakazi wenu?

Maana hata kama maboss wao wapo tena Hao maboss ndo huchukua jukumu la kuwa rekodi video wakiimba hizi nyimbo. Ukweli mnatutia aibu sana hasa tukiwa na familia zetu.

Kuna siku niliitwa kwenda sehemu kwa kaka kabla sihafika kwake nilisikia nyimbo zikiimbwa kwa nguvu zote nazo zile nyimbo zilikuwa za mtusi mtupu. Mfano wa nyimbo hizo ni kama " Zaina zaina (zaina) mtoto wa kifalme (zaina )
mwenye k ndogo zainaaa. Hii nyimbo ilirudiwa mara kadhaa kiasi kwamba hata watoto walianza kuiimba.

Visa ni vingi sana nilivyowahi sikia. Ajabu ni kwamba wakikuona unapita karibu yao na una mtu wa jinsia ya kike hapo sasa utasindikizwa na miruzi huku nyimbo ile ikirudiwa rudiwa kwa nguvu zaidi.

Naombeni sana muwambie vijana wenu hizi nyimbo zao waimbe wakiwa maporini huko na sio kwenye makazi ya watu. wanatutia aibu sana kwenye family zetu asee.

Kwani hamna nyimbo zingine za kuimba nje na matusi?

Tafadhari inatosha sasa na mbadirike. AHSANTENI
Badala ukemee hali ngumu ya maisha inayozidi kupamba moto kila kukicha kutokana na uongozi mbovu wa inchi unaleta umbea humu
 
View attachment 3173294
Nenda Railways na Bandari,hao Tanesco wanafunzi...
 
Badala ukemee hali ngumu ya maisha inayozidi kupamba moto kila kukicha kutokana na uongozi mbovu wa inchi unaleta umbea humu
Mkuu Kuna mahali umekatazwa kukemea hiyo Hali ngumu ya maisha Hadi uni amru Mimi ndo nikemee?
Je Mimi pekee ndo Nina Access ya kukemea?
 
Nakwambia hivi hii dunia hakuna neno utaacha sikia.....utamkataza asisikie ya tanesco atasikia ya singling we mfundishe tu aweze kujitambua na kutambua nyimbo mbaya na nyimbo njema
Hujanielewa nacho Manisha ni nyimbo kuimbwa ukiwa na familia yako nyumbani sijesema hata sikia je ni sawa kusikiliza nyimbo za matusi kama Hivi ukiwa na familia yako?

Mbona basata Kila kukicha nyimbo zenye mlengo wa matusi hufungiwa?

MFANO wa nyimbo ya diamond Ile ya Nyegezi?
 
Wakuu kheri kwenu nyote.

Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable).

Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO hizi nyimbo zimo kwenye katiba ama mikataba ya wafanyakazi wenu?

Maana hata kama maboss wao wapo tena Hao maboss ndo huchukua jukumu la kuwa rekodi video wakiimba hizi nyimbo. Ukweli mnatutia aibu sana hasa tukiwa na familia zetu.

Kuna siku niliitwa kwenda sehemu kwa kaka kabla sihafika kwake nilisikia nyimbo zikiimbwa kwa nguvu zote nazo zile nyimbo zilikuwa za mtusi mtupu. Mfano wa nyimbo hizo ni kama " Zaina zaina (zaina) mtoto wa kifalme (zaina )
mwenye k ndogo zainaaa. Hii nyimbo ilirudiwa mara kadhaa kiasi kwamba hata watoto walianza kuiimba.

Visa ni vingi sana nilivyowahi sikia. Ajabu ni kwamba wakikuona unapita karibu yao na una mtu wa jinsia ya kike hapo sasa utasindikizwa na miruzi huku nyimbo ile ikirudiwa rudiwa kwa nguvu zaidi.

Naombeni sana muwambie vijana wenu hizi nyimbo zao waimbe wakiwa maporini huko na sio kwenye makazi ya watu. wanatutia aibu sana kwenye family zetu asee.

Kwani hamna nyimbo zingine za kuimba nje na matusi?

Tafadhari inatosha sasa na mbadirike. AHSANTENI SANA.
View attachment 3173294
Mbona wanajeshi wanaimba matusi kuliko tanesco kwenye nyimbo zao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom