Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu kheri kwenu nyote.
Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable).
Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO hizi nyimbo zimo kwenye katiba ama mikataba ya wafanyakazi wenu?
Maana hata kama maboss wao wapo tena Hao maboss ndo huchukua jukumu la kuwa rekodi video wakiimba hizi nyimbo. Ukweli mnatutia aibu sana hasa tukiwa na familia zetu.
Kuna siku niliitwa kwenda sehemu kwa kaka kabla sihafika kwake nilisikia nyimbo zikiimbwa kwa nguvu zote nazo zile nyimbo zilikuwa za mtusi mtupu. Mfano wa nyimbo hizo ni kama " Zaina zaina (zaina) mtoto wa kifalme (zaina )
mwenye k ndogo zainaaa. Hii nyimbo ilirudiwa mara kadhaa kiasi kwamba hata watoto walianza kuiimba.
Visa ni vingi sana nilivyowahi sikia. Ajabu ni kwamba wakikuona unapita karibu yao na una mtu wa jinsia ya kike hapo sasa utasindikizwa na miruzi huku nyimbo ile ikirudiwa rudiwa kwa nguvu zaidi.
Naombeni sana muwambie vijana wenu hizi nyimbo zao waimbe wakiwa maporini huko na sio kwenye makazi ya watu. wanatutia aibu sana kwenye family zetu asee.
Kwani hamna nyimbo zingine za kuimba nje na matusi?
Tafadhari inatosha sasa na mbadirike. AHSANTENI SANA.