zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Imba kidogo tusikieNdio maana unasema. wao hata nguzo inasimikwa kando ya kiwanja chako na wanaweza kuja kuomba maji hapo kwako wanakuona unawaona unawasikia wanakusikia lkn wataimba matusi yote hadi kazi iishe! mara nyingi huwa tunakimbia miji yetu kuwapisha yaani ukiwaona hao hapo wee toka kwako kama ulikuwepo tu