KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Status
Not open for further replies.
Ndio maana unasema. wao hata nguzo inasimikwa kando ya kiwanja chako na wanaweza kuja kuomba maji hapo kwako wanakuona unawaona unawasikia wanakusikia lkn wataimba matusi yote hadi kazi iishe! mara nyingi huwa tunakimbia miji yetu kuwapisha yaani ukiwaona hao hapo wee toka kwako kama ulikuwepo tu
Imba kidogo tusikie
 
Mmmh basi poleni serikali sikivu itaifanyia kazi hii KERO
 
Wacha kabisa yaani kutokana na ulivyolelewa unajikuta hupendi kusikia hayo matusi na yalikuwa mapya kwelikweli kwa maeneo yale. Ole wako ionekane umesogea karibu na kazi yao hata ya kushusha nguzo tu kwenye Gari. Ukirudi home kinaumana😀😃
Niliwahi shuhudia wana kwaya wa dhehebu fulani wanakimbia kama wamefukuzwa walikuwa zoezi na jamaa wanaweka nguzo zoezi la kwaya yao liliishia hapo wakabaki wanaume pekee kurudisha ndani vyombo vyao vya mziki

kilichokuwa kinafanyika nyimbo ya dini inageuzwa kuwa tusi kana kwamba wameshawahi imba tangiapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom