Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...

Sasa uzi ndio unaanza!!
 
Huwezi kula ugali tangu utotoni Hadi leo ukawa na akili nimeamini

Kwamba siri Gani zimevujishwa za maana Hadi nyau kupotea hewani
 
Kikao cha dharura haraka sana
 
Kwa hiyo zile Bil 20 ataondoka nazo au atawaachia?Na ile canter yake ya promotion iliyowabeba kutokea airport ataichukua au atawaachia.
Mnamlaumu bure Hersi ila dirisha hili upande wa usajili Yusuph Bakheresa anawafanyia umafia kila mkipoint kachukua Azam.

Bakheresa hana mpango wa kuwekeza Simba kwani Azam media inaingiza hela ndefu kuliko Simba.Akithubutu ndio mwisho wa mechi za Yanga kurushwa na Azam media, so Bakheresa haitofanya ujinga huo na hajawahi kufikiria ujinga huo.
 
Kina Mzee Kaduguda na Kundi lake la kamati ya ulozi - Baada ya kuwasha moto uwanjani kule Afrika kusini na timu haikushinda, CEO kaamua kutowapa mpunga tena. Hali hiyo ndio imewafanya muanze kutengeneza Propoganda kama hizi.

Kiukweli Zeruzeru angekuwa anajua mahusiano hayo na Hersi wala asingekaa kimya, maana alishasema huyo CEO ni demu wa Mo.

CEO yupo sahihi sana. Hizi figisu zinatokana na watu kunyimwa mtonyo wa ulozi, hivyo wanatamani awapishe
 
Simba ni brand kubwa hakuna asiyetamani kuwekeza mwenye pesa hivyo kujiuzulu hakuwezi kuiharibu simba bali kutaipaisha zaidi.
 
kwa hiyo injinia anampeleka moto binobino pia? so Barabra officialy siyo mchepuko wa mo siyo? safi sana bonge la exclusive endelea kutupia vitu
Dah! Mengine unabaki kucheka tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…