Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Kipindi fulani nyuma Niliwahi kununua nissan Murano nikaelezwa ni la kike. Sijui huwa mnaangalia nn kufikia hitimisho la jinsia ya gari.
Yani we dume zima ukaenda kununua Murano aisee 😅😅😅 ulifeli kwa hakika ile gari imekaa kimanzi purely. Yani gari ya kimama mno mzee baba unaonekana umevaa sketi na wigi ukishuka kwenye Murano!
 
Yani we dume zima ukaenda kununua Murano aisee 😅😅😅 ulifeli kwa hakika ile gari imekaa kimanzi purely. Yani gari ya kimama mno mzee baba unaonekana umevaa sketi na wigi ukishuka kwenye Murano!

Sioni hoja hapo😂😂😂.

Yaani wewe Jinsia yako inakuwa affected na mambo madogo madogo kama aina ya gari unayotumia?

Ina maana siku ukiendesha Murano ndo basi tena wewe🤣🤣

Kwa upande wangu mm ni mwanaume nikiwa kwenye V8 au Murano, haijalishi. Nilitumia sana hiyo Murano na sikuona tatizo wala kujihisi nimepunguza uanaume.
 
Ulifeli mzee baba😅😅😅 usirudie tena kuendesha gari za kimams kama murano na dualis! Huwez kuwa kidume ukiwa kwenye Murano.

Gari za kiume zina boxy shapes always kama xtrail, terrano, hardbody, navara ama nissan pathfinder na patrol. Toyota kama Vx v8, Prado, Surf, Kluger, Harrier dume ile! Ukigeukia Suzuki grand vitara, Mitsubishi outlander kwa mzungu Mercedes GL, Audi Q5 au Q7, Touareg, G Wagon,Discovery, Range Rovers, Land Rover,Escalade, Volvo xc90, Jeeps zote ikiongozwa na Grand Cherokee.
 
Grand cherokee ya ukweli sana.
 
Jamani huku yupo Mbunge Mchungaji Gwajima anakokota Hammer Bungeni ni matata zipo 2 anabadili hata spika anazima muziki wake, moja ni ile ndefu sijui ina sebule yaani basi tena wakimjibu na hapo atatua na chopa
 
Gari za kimama??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umenisahau shabiki wa VW ambapo hata BMW anakatwa kasimama wakati kafuta kisahani cha 260
Your browser is not able to display this video.
 
Kwanza mjapan kaonesha mahali kuwa hizi gari ni za kiume au kike??

Yaaan wabongoo[emoji848]
 
Huyo mjeshi ulimwangalia vizuri?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…