Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Kumiliki simu ya laki saba mjini na wazazi hawana choo??nunua simu ya laki tatu,laki nne kajenge choo kwenu,
Kuna watu wengi mjini wanavaa vizuri wanaishi sehemu nzuri kivumbi wakifa,msibaukipelekwa kijijini kwao utawaonea huruma hayo mazingira
 
Dah hii inafaa kufungulia uzi watu wajifunze.

Sijui wachungaji huwa wanawalisha nini hawa viumbe

Mwisho wa siku tunaconclude kuwa mwanamke masikini destiny yake haitabiriki,maana umasikini huanzia kichwani kwenye fikra.
Unakuwa na mipango mingi mizuri ila kuitekeleza unakuja kudanganywa na mchungaji
 
Mdukuzi acha tu,mara ya mwisho nimekutana nae kiukweli alikuwa amechoka sana ila yeye alikuwa anajiona yuko poa mno maana alikuwa ana hakika ya kupewa 30,000 kwa wiki na mchungaji wake na kupewa nguo za msaada baada ya miezi kadhaa akisubiria siku moja ndoto ya kuwa mchungaji mkubwa itimie huku umri unakimbia mwezi wa nne anatimiza miaka 40 akiwa anasubiria miujiza ya kufanikiwa bila kufanya lolote itimie
 
Kumiliki simu ya laki saba mjini na wazazi hawana choo??nunua simu ya laki tatu,laki nne kajenge choo kwenu,
Kuna watu wengi mjini wanavaa vizuri wanaishi sehemu nzuri kivumbi wakifa,msibaukipelekwa kijijini kwao utawaonea huruma hayo mazingira


Kweli aisee!
 
Dah kama ni somo kaishalipata sasa
 
Nyie wenyewe hamuwezi kuolewa na mwanaume mwenye background ya umaskini kwao

Mnatumia neno "Kitonga " kama defence mechanism kwenu

Ku oa mwanamke mwenye background nzuri haimaanishi usaidiwe majukumu
Kwa hiyo mmeamua kujifananisha na wanawake Sasa?Si mtafutie hela jamani Kama nature inavyowataka mtutunze!
 
Ushaiuliza kama huyo mwanamke angemkubalia mwamba kama angekuwa masikini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kaka ulikua unaoa Kijiji chote au ukitegemea ukioa ukae kwa wakwe kabisa ila nimeamini umaskin mbaya jamani tutafute kazi na pia tukipata kazi tukumbuke nyumbani maana tunajisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…