Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Ukienda kwetu na ukija kwangu ni vitu viwili tofauti,umesema alikuwa ana miliki simu kali basi wewe ukaconclude hata kwao ni mambo swafi ila ulipofika kwao mambo yakawa tofauti,iko hivi kwa upande wangu ninaamini ili mimi niweze kuikomboa familia yangu kutoka kwenye umaskini ni lazima nianze kwanza mimi kupanda juu kisha nigeuke nyum kuanza kushika mkono mmoja mmoja na ndiyo tutaweza kujikwamua kimaisha,ila eti umeanza tu kupata vijisenti hapohapo uanze na wazazi mwisho wa siku mnajikuta wote ni maskini na Choka mbaya
Kumiliki simu ya laki saba mjini na wazazi hawana choo??nunua simu ya laki tatu,laki nne kajenge choo kwenu,
Kuna watu wengi mjini wanavaa vizuri wanaishi sehemu nzuri kivumbi wakifa,msibaukipelekwa kijijini kwao utawaonea huruma hayo mazingira
 
Unalolisema ni kweli,nilifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi,mwanzo alikuwa na ndoto kubwa na tukiwa wachumba nilijitahidi kumsupport kuzitimiza,hakuwa na hata godoro la kulalia ila nilimpenda hivyohivyo,niliamini kupitia ndoto zake basi maisha yatabadilika na atakuwa mtu mwingine,shida I kaja baada ya kufunga ndoa alikuwa ni muumini wa kanisa flani hivi la kilokole,mchungaji ndio akawa mwamuzi wa maisha yetu,kila akitaka kufanya kitu mpaka mchungaji aseme hicho kweli fanya,na bahati mbaya yake alikuwa amemzidi mchungaji elimu sasa mambo mengi alipokuwa akienda kumshirikisha mchungaji wake huyo pastor akawa anajenga picha ya kupinduliwa kichwani hivyo mwisho wa siku akawa anamdisappoint,mwisho wa siku akawa anamuonesha na anamjengea picha kichwani kwa kumuonesha kuwa hata yeye anaweza kuwa mchungaji mkubwa na atapata pesa nyingi kupitia uchungaji hivyo aachane na masuala ya kufuata ndoto zake maana zinamdanganya hatokuwa hivyo alivyo,kila nikijaribu kumuonesha jinsi mchungaji wake anavyompotosha anaenda kunishtaki kwa mchungaji wake mwisho wa siku mchungaji wake akamconvice aende akadai talaka mahakamani ili tuachane maana mimi nampeleka shimoni,hakimu aliyeendesha kesi yake kusikia kisa na mkasa wala hakuremba wala nini akaruhusu talaka itoke,tukaachana kwa style hiyo nikaamua kumuachia kila kitu nikaenda kuanza na moja,siku ya siku nakuja kupata taarifa tu aliuza kila kitu maana alikosa hela ya kodi hivyo akaamua kuweka vitu bondi nikaona sio shida zangu zilikuwa shida zake maana yeye aliamua kufuata maono ya mchungaji na si ndoto zake
Dah hii inafaa kufungulia uzi watu wajifunze.

Sijui wachungaji huwa wanawalisha nini hawa viumbe

Mwisho wa siku tunaconclude kuwa mwanamke masikini destiny yake haitabiriki,maana umasikini huanzia kichwani kwenye fikra.
Unakuwa na mipango mingi mizuri ila kuitekeleza unakuja kudanganywa na mchungaji
 
Mdukuzi acha tu,mara ya mwisho nimekutana nae kiukweli alikuwa amechoka sana ila yeye alikuwa anajiona yuko poa mno maana alikuwa ana hakika ya kupewa 30,000 kwa wiki na mchungaji wake na kupewa nguo za msaada baada ya miezi kadhaa akisubiria siku moja ndoto ya kuwa mchungaji mkubwa itimie huku umri unakimbia mwezi wa nne anatimiza miaka 40 akiwa anasubiria miujiza ya kufanikiwa bila kufanya lolote itimie
 
Kumiliki simu ya laki saba mjini na wazazi hawana choo??nunua simu ya laki tatu,laki nne kajenge choo kwenu,
Kuna watu wengi mjini wanavaa vizuri wanaishi sehemu nzuri kivumbi wakifa,msibaukipelekwa kijijini kwao utawaonea huruma hayo mazingira

Kweli aisee!
 
Mdukuzi acha tu,mara ya mwisho nimekutana nae kiukweli alikuwa amechoka sana ila yeye alikuwa anajiona yuko poa mno maana alikuwa ana hakika ya kupewa 30,000 kwa wiki na mchungaji wake na kupewa nguo za msaada baada ya miezi kadhaa akisubiria siku moja ndoto ya kuwa mchungaji mkubwa itimie huku umri unakimbia mwezi wa nne anatimiza miaka 40 akiwa anasubiria miujiza ya kufanikiwa bila kufanya lolote itimie
Dah kama ni somo kaishalipata sasa
 
Nyie wenyewe hamuwezi kuolewa na mwanaume mwenye background ya umaskini kwao

Mnatumia neno "Kitonga " kama defence mechanism kwenu

Ku oa mwanamke mwenye background nzuri haimaanishi usaidiwe majukumu
Kwa hiyo mmeamua kujifananisha na wanawake Sasa?Si mtafutie hela jamani Kama nature inavyowataka mtutunze!
 
Kuoa au kuolewa kwenye familia masikini ni mzigo ikiwa uko commited kujaribu kuwasaidia na wakawa hawaoni msaada wako....lakini kikubwa ni amani yenu na kustiliana kwenye hali zote... uwazi na upendo, hutajutia na Mungu wa Kweli hakutupi ukiwa na moyo wa utoaji. Utakuwa umefanya kosa sana kumwacha mtu anaekuheshimu ( ndio kupenda kwa wanaume) ukamkimbilia uliemtamani kisa familia yao inakauwezo.
Kadri utakavyoendelea kukua utaelewa ujinga ulioufanya na gharama zake kwenye furaha na amani ya moyo wako.
Ushaiuliza kama huyo mwanamke angemkubalia mwamba kama angekuwa masikini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kaka ulikua unaoa Kijiji chote au ukitegemea ukioa ukae kwa wakwe kabisa ila nimeamini umaskin mbaya jamani tutafute kazi na pia tukipata kazi tukumbuke nyumbani maana tunajisahau
 
Back
Top Bottom