mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #321
Kumiliki simu ya laki saba mjini na wazazi hawana choo??nunua simu ya laki tatu,laki nne kajenge choo kwenu,Ukienda kwetu na ukija kwangu ni vitu viwili tofauti,umesema alikuwa ana miliki simu kali basi wewe ukaconclude hata kwao ni mambo swafi ila ulipofika kwao mambo yakawa tofauti,iko hivi kwa upande wangu ninaamini ili mimi niweze kuikomboa familia yangu kutoka kwenye umaskini ni lazima nianze kwanza mimi kupanda juu kisha nigeuke nyum kuanza kushika mkono mmoja mmoja na ndiyo tutaweza kujikwamua kimaisha,ila eti umeanza tu kupata vijisenti hapohapo uanze na wazazi mwisho wa siku mnajikuta wote ni maskini na Choka mbaya
Kuna watu wengi mjini wanavaa vizuri wanaishi sehemu nzuri kivumbi wakifa,msibaukipelekwa kijijini kwao utawaonea huruma hayo mazingira