Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Na hizi ndio NDOA ZENU
Na hawa ndio WAUME ZENU..!!!

Ngoja nimalizie hii Hanson's Choice yangu Kubwa nikalale, Kesho kazini..!!!
πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ

#YNWA
Kesho jumapili kaka kula farasi huyo usiwaze kesho sio jumatatu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨
 
ila singida kuna umasikini sana wakuu sijui hawa ndugu walikosea wapi. Singida sio ajabu kukuta binti wa miaka 25 ana watoto sita au tano. Kule miaka 14 mtu ana mimba tayari, wako mbio mbio sana.
 
ila singida kuna umasikini sana wakuu sijui hawa ndugu walikosea wapi. Singida sio ajabu kukuta binti wa miaka 25 ana watoto sita au tano. Kule miaka 14 mtu ana mimba tayari, wako mbio mbio sana.
Singida na dodoma ni jangwani ,ndio kisa cha umasikini wao,ukipita kiangazi ni sawa na uko afghanistan
 
Kwani ulitaka kuoa familia yote au mke? Umesahau dhahabu hupatikana mbali na pagumu kuifikia? Ukimpata wa familia bora wanaweza kukudharau pia kwa ulivyo. Anyway ni maono yako na misimamo hatukuingilii.
 
Mwamba kaongea ukweli usiotakiwa kusikika. Japo kiukweli kupanga ni kuchagua ila usioe sehemu ambayo mnapishana sana hali ya maisha. Sio umaskini au utajiri lazima pazingue tu maana mna mifumo tofauti ya maisha na malezi.
Ukweli mchungu πŸ˜ƒ
Kuna mwamba alishafanya kitu kama hiki
Demu alikuwa mzuri ila jamaa alipopata file anapotoka akarudi nyuma ila msichana hakujua sabb kwann jamaa kachomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…