Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo)

Onana na Shimba ya Buyenze au Mshana Jr. Hawa jamaa ni wataalam wabobezi katika sekta hiyo watakushauri vya kutosha halafu baadae watakukonekti na mtaalamu wao mbobezi kwenya sekta hiyo hiyo. Usipopona kwa hawa majamaa wewe ndio basi tena maana hao jamaa ni wataalamu sana wabobezi.
 
Ulivyoji brand sivyo ulivyo, anza ku train ubongo wako kwa kuji brand upya kwa positive thinking. Unakuwa vile unavyowaza. Acha kuichanganya mindset yako kwamba una matatizo ya akili. Unaohisi wanakuona hivyo wao ndo wenye matatizo ya akili kama hujui sasa.
 
Ok sawa
 
Bora ushamaliza nilichotaka kumshauri pia
Watu hawaelewi life is so spiritual,hakuna kitu kinaanza ghafla
Mungu amsaidie wanaomzunguka wawahi kwenye prayers...

Kuna mkaka nimeona jana kajiua ,mara nyingi aliokolewa na ndugu zake akitaka kujiua,eti MaJuzi akasema mmeniokoa mara nyingi safari lzm nifanikishe😳 eti ndugu wakawa wanajipanga kumpeleka kwenye prayers,akawawahi kajiua....
 
Kwa hiyo sisi ambao hatuna hiyo spirituality hatuishi madam?
 
Duuu, aisee watu wanaji brand vibaya sana, anyway, ndo fate yake.
 
Bado hujaweka wazi ulikuwa unatumia madawa ya kulevya ndo tatizo likaja au limekuja ndo ukaanza kutumia madawa ya kulevya?
 
Kwa hiyo sisi ambao hatuna hiyo spirituality hatuishi madam?
Ambao hamna?
😄
Life is spiritual by default Kwa yyt uwe unataka au hutaki, unaamini au huamini ,ndo ilivyo ....
Kila unachoona ni Cha kiroho kabla hakijawa Cha kimwili.....yote tunayoyaona mwilini ni manifestation ya yaliyoko rohoni huko...
Km hujapitia shida shukuru Mungu tu, ila ukipitia utakuja kunielewa .
Acha niishie hapa...
 
Hakika
 
Pole sana kk Mungu hakufanyie wepes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…