Sawa mkuuUmejaribu njia Nyingi za Kisayansi na ni kama zimeshindwa......!
You are great Man, na Watu wa hivyo hupata Shida ambazo hawakustahiri.....! NENDA KANISANI ukapokee Uponyaji wako.....!!
Usiombe ushauri Kwa Mtu, coz pale Maumivu yanapokuzidi, hata Mkeo hakusaidii Maumivu Yako.
Dunia Ina mambo mengi hii, narudia Tena nenda KANISANI ukaombewe na Mungu atakuponya...!
- Hii Sentence inahitaji ufafanuzi, Ongeza maelezo.Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.
- Ila una nia ya dhati kuachana na haya madawa?madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
Ashapewa 🤣Wewe anzia hapo hapo unapoweza kuanzia
Dokta wa michongoWe will do the needful
Usidharau mkuu mpaka mtu anaweka issue kama hii public jua ana tatizo msaidie kadri ya uwezo wako usimbeze utajisikiaje kesho ukisikia mtu huyu amejiua?We huumwi sema tu Bangi hiyo imekukataa,acha Bangi sio gani yako
Huako peke yako!!!,,,2po wengi sana,,,ni tatizo la dunia!!!Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.
Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.
Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...
Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.
Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
Pole ndugu kumbe tuko wengi tupitia hii mitihani ya duniaHabari wanajamiiforum.

Msamehe mkuu.ni jinsi binadamu tulivyo.kuna vitu hajui kama unavyojua wewe kwa sababu hajakutana navyo.Usidharau mkuu mpaka mtu anaweka issue kama hii public jua ana tatizo msaidie kadri ya uwezo wako usimbeze utajisikiaje kesho ukisikia mtu huyu amejiua?
Ni mengi sana japo sizani kama ni vyema kuweka in publickPole sana mkuu..,
lkn kuna mdau huko juu kakuuliza... . ulianza kutumia madawa ya kulevya kabla ya kupata hilo tatizo au baada?
Tiba yako wewe inahitaji maamuzi thabit!... .. Labda back to your history.. kuna mambo ulifanya au ulifanyiwa visivyo , kama yapo weka wazi ili usaidike vizuri!