Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Why alalamikiwe Argentina tu kubebwa kwa penalty bandia mara kwa mara na si timu zingine [emoji848][emoji143]
Ni kawaida mti wenye matunda kupondwa...Hata ile penalty ya Ronaldo ililalamikiwa.
Hata Ronaldo angefuzu na Argentina kutoka.
Ungesikia kelele tu kuwa Ronaldo anatafutiwa Kombe la dunia.
Sema tu safari hiyo kelele zitatoka kwa upande wa mashabiki wa Messi kama ambavyo saivi hizi kelele zote zinatoka kwa mashabiki wa ronaldo.
 
Kamsikilize vizuri Dr Licky kwenye review za uchambuzi wa mechi ya leo.

Pia vipi penalty ya Netherland, ilikuwa ndani ya eneo la kipa?

Vipi penalty dhidi ya Poland?

Argentina wako hapo sababu ya mbeleko tu.
Mkuu kwani Penalty zina mwenyewe! Au Fifa waliwaambia Netherland wakose zile penalty ili Argentina wafuzu?
 
Kamsikilize vizuri Dr Licky kwenye review za uchambuzi wa mechi ya leo.

Pia vipi penalty ya Netherland, ilikuwa ndani ya eneo la kipa?

Vipi penalty dhidi ya Poland?

Argentina wako hapo sababu ya mbeleko tu.
Wakati wewe unamsikiliza Dr Licky,sisi wengine tunawasikiliza kina Kalusha Bwalya na wao wesema ni penati halali.
 
Kamsikilize vizuri Dr Licky kwenye review za uchambuzi wa mechi ya leo.

Pia vipi penalty ya Netherland, ilikuwa ndani ya eneo la kipa?

Vipi penalty dhidi ya Poland?

Argentina wako hapo sababu ya mbeleko tu.
Kwamba Dr Licky pekee ndiye ana macho mazuri ya kutazama mpira kuliko Referee uwanjani Na team ya Marefaree wa VAR?
 
Pole
 
Mpira ungekua unachezewa chumbani sawa tungesema wanabebwa. Hawa Croatia wamefika nusu lakini haikua team bora ukilinganisha na Brazil. Bora wangepigwa na Brazil tungeshuhudia mechi kali semifinal.

Croatia walizidiwa sana na Argentina hasa kwenye eneo la la mwisho kwenye kumalizia na creativity. Wamestahili walichopata.
 
Wamependelewa kwenye lipi kwa mfano?penati?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii ina mashabiki na wachambuzi wajinga lialia na wapumbavu kabisa. Pale matokeo yasipokuwa kama wanavyopenda basi utaona ujinga na upumbavu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…