Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

PUMBA [emoji1787]
 
Umewaza Kama Mimi,wamefanya mbinu ili kuipa uongozi Argentina kwa goli la kwanza la Mesi,Ile ilikuwa Ni penati ya Mchongo..

Goli lile ndio liliwatoa Croatia mchezoni maana kabla ya goli walikuwa wamewadhibiti vilivyo Argentina.
 
Umemaliza kila kitu
Mjadala ufungwe sasa

Sent from my TECNO CG7 using JamiiForums mobile app
 
Naona watu humu wanajificha tu kwenye kichaka cha FIFA kuwabeba Argentina ila utimu fulani tu unawasumbua. Argentina alivyopoteza dhidi ya Saudia mliwananga sana na kusema hana kikosi wala hana mchezo mzuri wa kushinda hili kombe. Wanaume wakasahihisha makosa ikawa mnaanza kusema ngoja akutane na huyu mara kwa huyu hatoboi ila wanaume hao wametinga fainali. Mnatengeza conspiracy theory zenu ili kujifurahisha nafsi zenu ila deep down anachokifanya Argentina mnakiona.
 
Kamsikilize vizuri Dr Licky kwenye review za uchambuzi wa mechi ya leo.

Pia vipi penalty ya Netherland, ilikuwa ndani ya eneo la kipa?

Vipi penalty dhidi ya Poland?

Argentina wako hapo sababu ya mbeleko tu.
Huyo mchambuzi ni mshabiki wa Brazil, na brazil ishatoka
 
Kwa namna Croatia walivyocheza wangeshinda walikua wanastahili, ila Argentina walicheza vizuri kiasi kikubwa walikua na bahati.
Mpira ulistahili kua Kona Kwa faida ya Croatia refa ana peta na Argentina wanaunza haraka wanapata penalty.
Goli la pili counter attack inayo jaribu kuokolewa na Beki wa Croatia anashindwa ku uondoa na kuanguka Mfungaji anafunga Kwa urais.
Goli la tatu juhudi binafsi za Mess na Mfungaji anamalizia.
Kikubwa bahati iliamua mchezo.
 
Ukiangalia mpaka dakika ya 70 croatia hakuwa na shoot on target, hapo Argentina ana 6, bahati inatoka wapi hapo..
 
Kamsikilize vizuri Dr Licky kwenye review za uchambuzi wa mechi ya leo.

Pia vipi penalty ya Netherland, ilikuwa ndani ya eneo la kipa?

Vipi penalty dhidi ya Poland?

Argentina wako hapo sababu ya mbeleko tu.
Kila kitu Dr.licky kwan wewe huna ubongo wa kung'amua jambo na macho ya kuona kinachotokea? Basi fanya kama Argentina wametolewa ili moyo wako utulie shankupe wa Licky
 
Mimi niwape tu pole mashabiki wa Ronaldo, ni Mungu tu atafuta mchozi yenu.
 
Hili kombe nmeacha kuangalia zamani tu, limejaa harufu ya rushwa. Hata sasahiv sifuatilii kabisa kinachoendelea huko.

Toka kupiga kura za muandaaji watu wa ndani kabisa wanasena kulitembezwa rushwa balaa na hao waarabu
Mm toka hao waarabu waaanze ubaguzi sijui tumeshinda kwa ajiri ya dini sijui na waarabu na moroco nikaona kwanini sisi waafrica tunabaguliwa na bado tuhangaike kuangalia huo upuuzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…