Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Naweza kuelezea nikaonekana mganga ila nilizizindua na wapo wataalamu wa hayo mambo
Mkuu, swali ni hili; uliwezaje kujizingua na hiyo dawa ya "ndere", je ulirudi tena kwa yule mganga au dawa ili-expire with time??!. Hilo ni swali muhimu kufanya watu tujifunze pia kuzidi kuinogesha mada yako.