Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Naweza kuelezea nikaonekana mganga ila nilizizindua na wapo wataalamu wa hayo mambo

Mkuu, swali ni hili; uliwezaje kujizingua na hiyo dawa ya "ndere", je ulirudi tena kwa yule mganga au dawa ili-expire with time??!. Hilo ni swali muhimu kufanya watu tujifunze pia kuzidi kuinogesha mada yako.
 
Hiyo dawa imekusaidiaje? Mbona hata bila dawa mademu wanapatikana tu?
Ushirikina ni tatizo
 
Nilizindua kwa mtu mwingine lakini pia dawa ilikwisha nguvu kwasababu kuna sehemu nilikatiza ambazo ukipita dawa hupunguza makali na ukitaka kuiendeleza unarudi kwa mganga wako but kama hutaki ndiyo hivyo tena
 
Hiyo dawa imekusaidiaje? Mbona hata bila dawa mademu wanapatikana tu?
Ushirikina ni tatizo

Ni kweli hata bila ushirikina warembo wapo wengi ila kwa wakati ule utoto na kutokujiamini ndiyo ilikuwa tatizo kwetu.
 
We jamaa umenikumbusha nilikwenda kwa mganga alinichanja sehemu nyingi ila kuna mahala alifika alitaka kunikera ila nilikuwa sina namna.
Alifikia nyuma ya kiuno juu ya makalio ambapo alishuka zaidi na kuniomba nivue bukta nikavua akaniomba nivue SanLG nikavua akapapasa makalio akachanja karibu kabisa na jicho du ilifika hatua nikawaza yaani huyu mpuuzi akinitia kidole au akiingiza dubwasha lolote hapakaliki.

Nadhani kuna muda aliingiza kidude flani sijui kilikuwa nini.
kmmmk 🤣🤣🤣🤣🤣 ungeflwa mbwa wewe, acheni hizo mbanga!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] unatuuliza sisi aliingiza dude gani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]! Wakati wewe ndiye ulikuwa naye huyo mganga ungemuuliza mtaalamu umeinhiza nini hicho haaa haaa
Nmecheka kinoma
 
Ni kweli hata bila ushirikina warembo wapo wengi ila kwa wakati ule utoto na kutokujiamini ndiyo ilikuwa tatizo kwetu.

Bado unajihusisha na ushirikina? I don't understand why most of Africans believe in superstitions
 
What about you whites?

Ushirikina ni tatizo. Wote wanaouendekeza wana matatizo makubwa sana. Hakuna maendeleo. Hakuna amani. Hakuna legacy ya maana zaidi ya mambo ya hovyo hovyo tu. Ndio maana kuua watu wa vipara, albino ah kufukua maiti ndio sifa zetu za hovyo mbele ya watu waliostaarabika. Tuache ushirikina
 
Ukiingia jf uwe unasalimia ma braza! Watoto mliozaliwa 2000's mnazingua sana humu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] watoto wa 20000'nini!
Sawa mkuu ila noti za elf10 za bluu,sina kumbu kumbu ka'zishawahi tumika nchini!

Nimejitahid mno kuvuta memory langu lakini wapi!
Emb tukumbushane bas bwaashe, mwaka gani huo, ama kipindi cha Mwinyi?
 
Back
Top Bottom