KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Bado hujasema.... Mpaka usemeGanja bana.
Nani amesema Baba yako mzazi sio Mungu Baba wako?Nani kasema?
Makubwa! Mmeanza kavurugwa sasaNani amesema Baba yako mzazi sio Mungu Baba wako?
Sio kila MTU anapata maono,Umeanza kuchanganyikiwa akili lini mkubwa? 🤒 😎
Afu hajui kuwa mada moja tu watu watamchukulia hivyohivyoUmeanza kuchanganyikiwa akili lini mkubwa? 🤒 😎
Na sio kila maono unayoyapata basi yote yataonekana mazuri,, mengine yapo kwa ajili ya kukuvuruga kama haya uliyo yapata 😎Sio kila MTU anapata maono, nyie
Naishi maisha yangu, hao wengine wana maisha yao pia ambayo hayanihusuAfu hajui kuwa mada moja tu watu watamchukulia hivyohivyo
VizuriNaishi maisha yangu, hao wengine wana maisha yao pia ambayo hayanihusu
Huyo Mungu baba Yenu anajua nini?Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣
Nimecheka sana aiseee.
Cha kushangaza huyo Mungu Baba yako hajui hata tarehe iliyotungisha mimba yako
Haelewi kuwa anajiharibia mtazamo aliokuwa amejijengea humu 😑Afu hajui kuwa mada moja tu watu watamchukulia hivyohivyo
Hiyo Pombe Ya Ngapi..John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa