Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Huyu huyu wa nabii Kiboko ya Wachawi au mwingine
Huyo huyo wa wadhambi wote unaowajua na usiowajua! Wakubwa kwa wadogo! Mimi, wewe na kiboko ya wachawi! Yeye ni Mungu wa wote na alitufia wote! Hata hivyo, sikusudii kusema Yesu wa Nazareth alimtuma kiboko ya wachawi kufanya utapeli na uongo na uchawi alioufanya! Yesu ninayemjua ni Mtakatifu!
 
John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.

Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.

Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Sikupingi, kuna Mungu na kuna miungu. Mungu anayenadiwa na ngozi nyeupe ni Mungu mkuu lakini ameongezewa sifa za binadamu kitu ambacho kiuhalisia (Mungu) hana.

Baba mzazi anayo nafasi kubwa sana katika uumbaji, lakini ana sifa moja ambayo inapoteza Ukuu wa kuitwa Mungu. Nayo ni hii, baba mzazi atakufa. Mungu muumbaji wa ulimwengu hafi, yupo siku zote kuongoza ulimwengu na roho za wale wanaoacha miili yao ya asili
 
Fanya vyote lakini usijaribu kuleta mzaha na mambo yanayomuhusu MUNGU
 
John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.

Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.

Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Acha kukufuru. .Mungu wako ni yule anayetawala na kufanya kila kitu na kusifiwa siyo huyu unayemuita Mungu baba bali Mungu mama.
 
Back
Top Bottom