Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Acha tuupe muda wakati,, naamini atakuja kukausha hiki alicho kiandika hata kama haitokuwa leo wala kesho 😊
Waefeso 6:2-3
[2]Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Honour thy father and mother; (which is the first commandment with promise😉
[3]Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
That it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth.
 
John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.

Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.

Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Hongera sana, Uko huru sasa nje ya boksi kuelea bahari kuu isiyo na mipaka ya muda wala nafasi.
Utabezwa sana, Ila hakuna furaha kubwa inayozidi ile ya Kujitambua.
 
Waefeso 6:2-3
[2]Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Honour thy father and mother; (which is the first commandment with promise😉
[3]Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
That it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth.
Kumbe hadi amri 10 za Mungu unazijuwa?

Amri ya kwanza ndimi bwana Mungu wako usiabudu miungu wengine
 
Back
Top Bottom