makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ndio yeye, waweza mfuta tu picha yake.
DoneNdio yeye, waweza mfuta tu picha yake.
ni akili kubwa tu ndiyo itakayokuelewaJohn Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Asante sana Mkuu.ni akili kubwa tu ndiyo itakayokuelewa
Very sadPole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho
kufuru tupu na malipo yake ni moto
Mbona nimekujibu mkuu 😎,, sababu ya mimi kutokukujibu tena ni kwa sababu unarudia maswali.Twende ukajibu spana ninazokupiga nazo, acha kukimbia
Very sadPole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho
kufuru tupu na malipo yake ni moto
Hata kuamini mungu nyota na mwezi ni undezi wa hali ya juuPole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho
kufuru tupu na malipo yake ni moto
Majibu yako hayakidhi viwango vya kuitwa jibu, majibu yako ni futuhiMbona nimekujibu mkuu 😎,, sababu ya mimi kutokukujibu tena ni kwa sababu unarudia maswali.
Inakuwa kama tunafundishana "a e i o u,.
Endelea kushupaza mishipa ya shingo hivyo hivyo,, vitabu takatifu pia vipo unaweza kusoma na kuchanganua mwenyewe.Majibu yako hayakidhi viwango vya kuitwa jibu, majibu yako ni futuhi
Kubali kwamba hujui kitu ili uelekezwe vyema kwamba wewe ni maamuma.Nimekwambia kabisa Allah na Yehovah ni Mungu mmoja according na maandiko yanavyosema.
Allah ikimaanisha ni Mungu kwa upande wa Waislam na Yehovah ikimaanisha Mungu kwa upande wa Wakristo.
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa upande wa Waislam alikuwa ni Muhammad na Mjumbe kwa upande wa Wakristo alikuwa ni Yesu Kristo.
Kipi ambacho hakieleweki hapa mkuu?
Kwa mujibu wa hivyo vitabu mbona wana tabia tofautiNimekwambia kabisa Allah na Yehovah ni Mungu mmoja according na maandiko yanavyosema.
Allah ikimaanisha ni Mungu kwa upande wa Waislam na Yehovah ikimaanisha Mungu kwa upande wa Wakristo.
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa upande wa Waislam alikuwa ni Muhammad na Mjumbe kwa upande wa Wakristo alikuwa ni Yesu Kristo.
Kipi ambacho hakieleweki hapa mkuu?
Endelea kulewa,, unachotaka kubishana kipo nje ya uwezo wako wa kufikiri dada Zuwena.Kubali kwamba hujui kitu ili uelekezwe vyema kwamba wewe ni maamuma.
Allah Ana sifa zake na Jehovah Ana sifa zake tofauti kabisa.
Hata makazi yao ni sehemu mbili tofauti na hakufanani kwa lolote wala chochote
Niambie maana ya Allah na maana ya Yehovah??Kwa mujibu wa hivyo vitabu mbona wana tabia tofauti
Allah hakuzaa wala hakuzaliwa. Jehovah Ana mwana wake wa pekee Yesu Kristo.Endelea kushupaza mishipa ya shingo hivyo hivyo,, vitabu takatifu pia vipo unaweza kusoma na kuchanganua mwenyewe.
Hapo nimekupa darasa kidogo ambalo ulikuwa huna kichwani mwako. Swali sasa, Mungu wako ni yupi?Endelea kulewa,, unachotaka kubishana kipo nje ya uwezo wako wa kufikiri dada Zuwena.
Hujui hata unayemuabudu, wewe ni sawa na.MTU asiyejua jina lake, hajui alipo, hajui atokako, hajui aendako, wala hajui asili yake.Endelea kulewa,, unachotaka kubishana kipo nje ya uwezo wako wa kufikiri dada Zuwena.