Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.

Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.

Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
ni akili kubwa tu ndiyo itakayokuelewa
 
Pole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho

kufuru tupu na malipo yake ni moto
Very sad
Pole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho

kufuru tupu na malipo yake ni moto
Hata kuamini mungu nyota na mwezi ni undezi wa hali ya juu
 
Mbona nimekujibu mkuu 😎,, sababu ya mimi kutokukujibu tena ni kwa sababu unarudia maswali.

Inakuwa kama tunafundishana "a e i o u,.
Majibu yako hayakidhi viwango vya kuitwa jibu, majibu yako ni futuhi
 
Nimekwambia kabisa Allah na Yehovah ni Mungu mmoja according na maandiko yanavyosema.

Allah ikimaanisha ni Mungu kwa upande wa Waislam na Yehovah ikimaanisha Mungu kwa upande wa Wakristo.

Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa upande wa Waislam alikuwa ni Muhammad na Mjumbe kwa upande wa Wakristo alikuwa ni Yesu Kristo.

Kipi ambacho hakieleweki hapa mkuu?
 
Kubali kwamba hujui kitu ili uelekezwe vyema kwamba wewe ni maamuma.

Allah Ana sifa zake na Jehovah Ana sifa zake tofauti kabisa.

Hata makazi yao ni sehemu mbili tofauti na hakufanani kwa lolote wala chochote
 
Unaanza kuuliza kuhusu sifa za Allah na sifa za Yehovah ni zipi wakati tayari nimeshakujibu,, au simu yako wewe haina access ya Bible na Quran???
 
Nimekwambia kabisa Allah na Yehovah ni Mungu mmoja according na maandiko yanavyosema.

Allah ikimaanisha ni Mungu kwa upande wa Waislam na Yehovah ikimaanisha Mungu kwa upande wa Wakristo.

Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa upande wa Waislam alikuwa ni Muhammad na Mjumbe kwa upande wa Wakristo alikuwa ni Yesu Kristo.

Kipi ambacho hakieleweki hapa mkuu?
Kwa mujibu wa hivyo vitabu mbona wana tabia tofauti
 
Kubali kwamba hujui kitu ili uelekezwe vyema kwamba wewe ni maamuma.

Allah Ana sifa zake na Jehovah Ana sifa zake tofauti kabisa.

Hata makazi yao ni sehemu mbili tofauti na hakufanani kwa lolote wala chochote
Endelea kulewa,, unachotaka kubishana kipo nje ya uwezo wako wa kufikiri dada Zuwena.
 
Endelea kushupaza mishipa ya shingo hivyo hivyo,, vitabu takatifu pia vipo unaweza kusoma na kuchanganua mwenyewe.
Allah hakuzaa wala hakuzaliwa. Jehovah Ana mwana wake wa pekee Yesu Kristo.

Allah hafanani na kiumbe yeyote. Jehovah alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.
Makazi ya Allah ni Peponi. Makazi ya Jehovah ni mbinguni.

Peponi mwanaume mmoja anapewa mabikira 72. Mbinguni hamna kuoa wala kuolewa, wote mnakuwa mabibi harusi ya Mwana Kondoo aliyechinjwa, Yesu Kristo.

Peponi kuna mito minne, ukiwemo mmoja ambao ni mto wa pombe tamu sana, na mwingine mto wa maziwa, na mwingine mto wa asali na mto wa maji. Mbinguni ni mji wa kioo, barabara zake zimejengwa kwa dhahabu safi.

Peponi kuna starehe za kila aina, kula na kunywa, mbinguni hamna starehe zaidi ya kuimba, kusujudu, kuvua taji zenu huku mkisema Wastahili wewe Bwana, kupokea sifa, heshima utukufu na adhama
 
Endelea kulewa,, unachotaka kubishana kipo nje ya uwezo wako wa kufikiri dada Zuwena.
Hujui hata unayemuabudu, wewe ni sawa na.MTU asiyejua jina lake, hajui alipo, hajui atokako, hajui aendako, wala hajui asili yake.
 
Back
Top Bottom