Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Kwa mujibu wa hivyo vitabu mbona wana tabia tofauti
halafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa moja ,
ajabu kweli kweli
vitabu vimewachaganya sana Waafrika
Kubali kwamba hujui kitu ili uelekezwe vyema kwamba wewe ni maamuma.

Allah Ana sifa zake na Jehovah Ana sifa zake tofauti kabisa.

Hata makazi yao ni sehemu mbili tofauti na hakufanani kwa lolote wala choch
 
Kwa hiyo wewe mwenyewe ni Mungu mwana!?
 
halafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa moja ,
ajabu kweli kweli
vitabu vimewachaganya sana Waafrika
Jamaa agenda yao inazidi kutuondoka vichwani mwetu watu weusi tunaojihoji na kuhoji maswali na kuutafuta ukweli
 
unajua inabidi
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya alale kwa amani, alinisaidia sana kujitambua
mkuu na sisi inatakiwa tujiulize hivi vizazi na vizazi na vizazi villivyo tutangulia vilimjua huyu Mungu kwa majina gani
Siyo tunaletewa tu majina ambayo hata mababu zetu walikuwa hawayajui
Hapo waafrika tumefeli sana
ila ni suala la muda tu
 
unajua inabidi
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya alale kwa amani, alinisaidia sana kujitambua
mkuu na sisi inatakiwa tujiulize hivi vizazi na vizazi na vizazi villivyo tutangulia vilimjua huyu Mungu kwa majina gani
Siyo tunaletewa tu majina ambayo hata mababu zetu walikuwa hawayajui
Hapo waafrika tumefeli sana
ila ni suala la muda tu
 
True
 
halafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa moja ,
ajabu kweli kweli
vitabu vimewachaganya sana Waafrika
Yani Shetani wa Biblia na Quran wote wana sifa moja.

Ila Mungu wa Quran na Biblia ni tofauti.

Hapa ndio uongo ulianzia.
 
Hujui kitu.
Humjui Allah wala humjui Jehovah na sifa zao. Usikurupuke kujibu kabla hujatafiti.

Pitoa machapisho mbalimbali ujue tofauti ya hao miungu yenu

Mungu muumba mbingu na aridhi hajawahi kujiita Jehova Kwa sababu Jehova ni Neno la Kigiriki na Mungu hajawahi kujifunua kwa Wagiriki

Mungu alijufunua Kwa waisrael Kwa lugha ya kiebrania na alijufunua Kwa majina haya

Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

JE! Mungu aliyejifunua Kwa Musa ndio Allah?
Jibu ni ndio

Kutoka 3:3
Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.
Kutoka 3:4
BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.
Kutoka 3:5
Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.

Allah anamuhadithia mtume Muhammad habari za nabii Musa
Quran 20:9
- Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
Quran 20:10
- Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
Quran 20:11
- Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
20:12
- Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
 
Mimi binafsi na amini Mungu yupo na Mungu asingekuwepo pengine nisingekuwa hai

Nimewahi patwa na ugonjwa wa ajabu kuhema nashindwa na kila dawa iligoma kunisaidia ila kupitia Sala moja Mimi na mzee wangu Ile tunamaliza na amen nikawa nimepona mpaka Leo siwezi sahau ule muujiza maishani mwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…