Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Miungu ya Kiarabu na Kizungu ndio imeleta ushoga dunianiPole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho
kufuru tupu na malipo yake ni moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miungu ya Kiarabu na Kizungu ndio imeleta ushoga dunianiPole kwa kupoteza muda kuamini miungu ya sanamu na miungu watatu bawana mwana na roho
kufuru tupu na malipo yake ni moto
CriSanToS umeminywa pabaya. Kumbe wewe popoma tu kama GENTAMYCINEHujui hata unayemuabudu, wewe ni sawa na.MTU asiyejua jina lake, hajui alipo, hajui atokako, hajui aendako, wala hajui asili yake.
halafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa moja ,Kwa mujibu wa hivyo vitabu mbona wana tabia tofauti
Kubali kwamba hujui kitu ili uelekezwe vyema kwamba wewe ni maamuma.
Allah Ana sifa zake na Jehovah Ana sifa zake tofauti kabisa.
Hata makazi yao ni sehemu mbili tofauti na hakufanani kwa lolote wala choch
Allah ni mungu asiye na nguvu za kiume, Hana mtoto, hajawahi kupiga selfie, hafanani na chochote.Niambie maana ya Allah na maana ya Yehovah??
Kwa hiyo wewe mwenyewe ni Mungu mwana!?John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Mamungu wote wanapigana na shetani hadi Leo hawajamuwezahalafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa mloja
ajabu kweli kweli
vitabu vimewachaganya sana Waafrika
🤣🤣🤣🤣Allah ni mungu asiye na nguvu za kiume, Hana mtoto, hajawahi kupiga selfie, hafanani na chochote.
Jehovah ni dume, Ana mtoto ila hana demu wala mke wala mchepuko
Jamaa agenda yao inazidi kutuondoka vichwani mwetu watu weusi tunaojihoji na kuhoji maswali na kuutafuta ukwelihalafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa moja ,
ajabu kweli kweli
vitabu vimewachaganya sana Waafrika
kwa kizazi hiki cha vitabu itakuwa ngumu ila vizazi vijavyo vitajinasua kwenye huu mtegoJamaa agenda yao inazidi kutuondoka vichwani mwetu watu weusi tunaojihoji na kuhoji maswali na kuutafuta ukweli
kwa kizazi hiki cha vitabu itakuwa ngumu ila vizazi vijavyo vitajinasua kwenye huu mtegoJamaa agenda yao inazidi kutuondoka vichwani mwetu watu weusi tunaojihoji na kuhoji maswali na kuutafuta ukweli
Ukombozi huanza na wachache ambao ni mbegu na chachukwa kizazi hiki cha vitabu itakuwa ngumu ila vizazi vijavyo vitajinasua kwenye huu mtego
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya alale kwa amani, alinisaidia sana kujitambuakwa kizazi hiki cha vitabu itakuwa ngumu ila vizazi vijavyo vitajinasua kwenye huu mtego
Hakika mkuuUkombozi huanza na wachache ambao ni mbegu na chachu
mkuu na sisi inatakiwa tujiulize hivi vizazi na vizazi na vizazi villivyo tutangulia vilimjua huyu Mungu kwa majina ganiKissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya alale kwa amani, alinisaidia sana kujitambua
mkuu na sisi inatakiwa tujiulize hivi vizazi na vizazi na vizazi villivyo tutangulia vilimjua huyu Mungu kwa majina ganiKissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya alale kwa amani, alinisaidia sana kujitambua
Trueunajua inabidi
mkuu na sisi inatakiwa tujiulize hivi vizazi na vizazi na vizazi villivyo tutangulia vilimjua huyu Mungu kwa majina gani
Siyo tunaletewa tu majina ambayo hata mababu zetu walikuwa hawayajui
Hapo waafrika tumefeli sana
ila ni suala la muda tu
Safi sanaKissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya alale kwa amani, alinisaidia sana kujitambua
Yani Shetani wa Biblia na Quran wote wana sifa moja.halafu sasa shetani wa bibilia na wa Quran wana sifa moja ,
ajabu kweli kweli
vitabu vimewachaganya sana Waafrika
Hujui kitu.
Humjui Allah wala humjui Jehovah na sifa zao. Usikurupuke kujibu kabla hujatafiti.
Pitoa machapisho mbalimbali ujue tofauti ya hao miungu yenu