Nilichobaini kwa watu wa Njombe

Nilichobaini kwa watu wa Njombe

Nimeishi na kupita maeneo kadhaa huko njombe wilaya ya wanging'ombe kuelekea huko Ludewa Kuna mlima wanaita gangitololi asee ni balaa utatelemkia sehemu wanaita mkiu Kona ya kwenda lugalawa, nilipata na mke huko.
Ulipata mke Mkiu? ni mtoto wa nani?
Huo mlima Gangitoroli kuna mwaka gari la cocacola lilitekwa na majambawazi wakasepa na mauzo yote.
 
Acha uongo mzee kilichopelekea hizo takwimu njombe wanamwamko wa kupima Sana tofauti na mikoa mingine vilevile ni moja ya mikoa yenye hospitali nzuri nyingi
Sasa uongo gani mkuuu takwimu huoni au.....acha ujuaji wa kijinga ....plus njombe kakaangu huko anafanya kazi mtwango halimashauri.......nimekuja mara kibao hapo mtwango wako busy kuzuia maambukizi na kutoa elimu ......takwimu kitaifa njombe iko juuu

So moja ya kazi ya serikali mkoa wa njombe upande wa afya kipaumbale kikuu ni kupunguza maambukizi ya HIV ...pamoja na utapia mlo kwa watoto kama ulikuwa hujui kijana

Pia before sijabishana na na ww una level ipi kielimu nisije kubishana na la saba au form four hapa bure.... ukiwa mbishi uwe unajua dunia hata kusoma kama la saba au form four sijui una certificate usijibu tena kaa kimya
 
Ulipata mke Mkiu? ni mtoto wa nani?
Huo mlima Gangitoroli kuna mwaka gari la cocacola lilitekwa na majambawazi wakasepa na mauzo yote.
Mke nilipata lugalawa ni ndugu na yule father wa parokia ya Roma pale mkiu, anaitwa Ngairo.
 
halafu mabinti zao wana shepu nzuri sana 😋. nikistaafu huku niliko nikirudi ukimani nitajitwalia mmoja wa kumalizia maisha
Mzee kama unaenda fainali(uzeeni)tulia😂😂😂😂.
Usije ukaenda kabla ya muda bado tunakupenda.
 
Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!

Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na umbo dogo sana lakini akawa ni mtu "mkubwa" sana.

Watu wengi wa Njombe wana maumbo madogo, unaweza kusema ni watu wafupi. Lakini akili zao na utu wao si "mfupi".

Kwa niliyoyashuhudia, nilihitimisha kama ifuatavyo kuhusu watu wa Njombe:

1. Ni watu wanaojikubali! Wamerkdhikia na maumbo yao ya kuzaliwa. Hawahangaiki kuwa kama "wengine" kimwonekano.

2. Ni watu wastaarabu sana, na wakarimu pia. Hata ukimwuliza mtu njia, anakuelekeza kwa upendo utafikiri unamlipa.

3. Ni wajasiri sana. Si wanaume wala wanawake. Wanajua kusimamia kile wanachokiamini.

Nakumbuka, tukiwa stendi kuu ya mabasi tukiwa tunataka kwenda Ludewa, wamama fulani waligoma kulipa nauli kabla gari halijaanza safari. Walikuja kulipa baada ya gari kutoka stendi. Si kama wamama wa mikoa fulani ambao wakikoromewa tu kidogo na konda "wanahanya" utafikiri huo usafiri wamepewa msaada.

Hilo basi likiwa njiani kuelekea Ludewa, lilikwama na hivyo kondakta na dereva wakawaomba abiria msaada wa kusukumwa. Mbona waligoma kufanya hivyo!. Hata mimi ilinibidi "nijikaushe" japo nilitamani kuwasaidia.

Walitoa sababu mbili za kukataa kwao:
A). Wamelipa nauli hivyo ni jukumu la watoa huduma kutafuta namna ya kuwafikisha wanakoenda kama tiketi inavyoonesha

B). Pale kuna vijana wanaoweza kuifanya hiyo kazi hivyo kondakta awalipe vijana waliopo eneo hilo ili waitie hiyo huduma.

Walisimama na huo msimamo mpaka wahudumu wa basi walipojiongeza na hatimaye basi kukwamuliwa.

Lakini hao watu si wakatili. Wana upendo mno. Siku iyo hiyo, wakati tukiendelea na safari, mmoja wa abiria aliugua njiani. Abiria walionesha ushirikiano wa hali ya juu katika kumpatia huduma ya kwanza hadi alipofikishwa hospitalini kwa basi ilo hilo.

4. Ni wachapa kazi sana. Kule kuna wenyeji wenye mashamba makubwa ya parachichi na miti ya mbao na nguzo. Inaonekana kuna mabilionea japo hawapigi kelele.

5. Ni watunzaji wa mazingira. Hata stendi yao ya mabasi, ukiiangalia, inavutia sana. Ina ukijani mzuri ambao umetokana na kupata matunzo stahiki.

Kwa kifupi, watu wa Njombe ni wajasiri, wakarimu, wastaarabu, wanajikubali, wachapa kazi na matajiri wasio na makelele.

Aliyewahi kuwa Mbunge maarufu kipindi cha utawala wa Kikwete, marehemu Deo Filikonjombe alikuwa Mbunge wa Ludewa. Ni zao la Njombe.

Sishangai kwa nini alikuwa jasiri! Ni asili ya watu wa Njombe.

Hongereni watu wa Njombe👏👏👏

Keep it up!
vipi kuhusu kiwango cha maambukizi ya ukimwi?.hali ipoje njombe?
 
Sasa uongo gani mkuuu takwimu huoni au.....acha ujuaji wa kijinga ....plus njombe kakaangu huko anafanya kazi mtwango halimashauri.......nimekuja mara kibao hapo mtwango wako busy kuzuia maambukizi na kutoa elimu ......takwimu kitaifa njombe iko juuu

So moja ya kazi ya serikali mkoa wa njombe upande wa afya kipaumbale kikuu ni kupunguza maambukizi ya HIV ...pamoja na utapia mlo kwa watoto kama ulikuwa hujui kijana

Pia before sijabishana na na ww una level ipi kielimu nisije kubishana na la saba au form four hapa bure.... ukiwa mbishi uwe unajua dunia hata kusoma kama la saba au form four sijui una certificate usijibu tena kaa kimya
KUishiwa fact ni kuanza ku judge level ya elimu ya mtu off course hai kuu husu sisi ndo tunayo ijua njombe kwenda mtwango si kuijua njombe ndugu tumekupa fact kwanini njombe inaonekana inaongoza kwenye hizo takwimu unaanza kuhangaika na level za elimu
 
Mke nilipata lugalawa ni ndugu na yule father wa parokia ya Roma pale mkiu, anaitwa Ngairo.
Namfahamu, anafuga samaki kule karibu na kanisani Mkiu.
Lugarawa kwenyewe nimeenda sana miaka ya nyuma kupeleka abiria kwa baiskeli kabla ya bodaboda hazijaanza.
 
Sahihi kabisa nimeishi pale Kwa mwezi mmoja. Nikimtrain ufugaji wa kisasa.
 
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙌🙌🙌🙌
Haya ndo mambo ya Mbaga Jr na mwenzake Intelligent businessman

* Kuosha viombo vingae na kusugua sufuria kwa weledi

*Kupika pishi tamu kushinda hata mwanamke

*Kufua nguo , tena unakuta anarundika na anaratiba yake maalumu ya kufua na anang'arisha pasi na shaka lolote

* Kuweka chumba katika hali ya usafi wa hali ya juu mpaka mwanamke akiingia anatetemeka

* Kuchambua mboga, kukata mboga, kukata vitunguu, kuchambua mchele , maharage na vitu vingine vinavyofanana na hivyo

* Kupika chai asubuhi na kunywa kabla ya kwenda kazini / kibaruani/ mihangaikoni
 
😂😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Aiseeee.
Mie simo🏃🏃🏃 huu utani wa ngumi kabisa.
 
KUishiwa fact ni kuanza ku judge level ya elimu ya mtu off course hai kuu husu sisi ndo tunayo ijua njombe kwenda mtwango si kuijua njombe ndugu tumekupa fact kwanini njombe inaonekana inaongoza kwenye hizo takwimu unaanza kuhangaika na level za elimu
Sasa wewe unaona njombe ipo ya ngapi kwenye data za hiv national wide.....mi ndo maana mapomole kama wewe lazima niulize elimu kwanza...... kwanza huwezi tazama hata mtandaoni data za hiv nation wide......usilete ujuaji wa kishamba ...... tunauliza elimu sababu naweza kuwa nabishana na mshamba fulani kupoteza muda ....sijibu tena maana muda kubishana na mapomole kama wewe sina data zipo online mitandaoni kasome....jinga kabisa unabisha kiti kiko wazi....fool

narudia tena changamoto kubwa ya mkoa wa njombe ni maambukizi makubwa ya hiv ...pamoja na utapia mlo kwa watoto ... pia iringa wana tatzo hili

Ujinga sometimes muwe mkija mnauficha sio kila mtu ajue wewe ni ngumbaru ..
 
😂😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Aiseeee.
Mie simo🏃🏃🏃 huu utani wa ngumi kabisa.
Wee ndo mwanzilishi lakini...
Ngoja wakuje 😂😂😂😂😂
 
SSi
Sasa wewe unaona njombe ipo ya ngapi kwenye data za hiv national wide.....mi ndo maana mapomole kama wewe lazima niulize elimu kwanza...... kwanza huwezi tazama hata mtandaoni data za hiv nation wide......usilete ujuaji wa kishamba ...... tunauliza elimu sababu naweza kuwa nabishana na mshamba fulani kupoteza muda ....sijibu tena maana muda kubishana na mapomole kama wewe sina data zipo online mitandaoni kasome....jinga kabisa unabisha kiti kiko wazi....fool

narudia tena changamoto kubwa ya mkoa wa njombe ni maambukizi makubwa ya hiv ...pamoja na utapia mlo kwa watoto ... pia iringa wana tatzo hili

Ujinga sometimes muwe mkija mnauficha sio kila mtu ajue wewe ni ngumbaru .

Sasa wewe unaona njombe ipo ya ngapi kwenye data za hiv national wide.....mi ndo maana mapomole kama wewe lazima niulize elimu kwanza...... kwanza huwezi tazama hata mtandaoni data za hiv nation wide......usilete ujuaji wa kishamba ...... tunauliza elimu sababu naweza kuwa nabishana na mshamba fulani kupoteza muda ....sijibu tena maana muda kubishana na mapomole kama wewe sina data zipo online mitandaoni kasome....jinga kabisa unabisha kiti kiko wazi....fool

narudia tena changamoto kubwa ya mkoa wa njombe ni maambukizi makubwa ya hiv ...pamoja na utapia mlo kwa watoto ... pia iringa wana tatzo hili

Ujinga sometimes muwe mkija mnauficha sio kila mtu ajue wewe ni ngumbaru ..
Sina Muda kubishana na box
 
Wacha watu waendelee kupiga pesa
IMG-20240117-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom