nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Haya ni bilioni 23 sijui, ila bado ni pesa nyingi sanaUna elimu gani kwanza
Haifikia hata bill 45
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni bilioni 23 sijui, ila bado ni pesa nyingi sanaUna elimu gani kwanza
Haifikia hata bill 45
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!Tuna SGR, Bwawa la umeme, ndege, flyover, uchumi wa kati tuliachiwa na Magufuli unataka maendeleo gani?
Kumbe ndio maana unawashwa ukiona mada imeanzishwa ni kuleta hilo jitu lenu
Wazuri hawafi mapema ndio maana JK, Mwinyi wapo
Ndo za kwake Sasa alikuwa nazoHaya ni bilioni 23 sijui, ila bado ni pesa nyingi sana
Sawa mwendazake kaondoka katuachia mwendawazimuKumbe ndio maana unawashwa ukiona mada imeanzishwa ni kuleta hilo jitu lenu
Wazuri hawafi mapema ndio maana JK, Mwinyi wapo
Hongereni mliobaki na mwendawazimuMisukule mmekuja juu balaa baada ya mungu wenu kusemwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko maana nimezunguka sana duniani huko, hizo sheria zipo. Sheria hizi zinamake sense kwa jamii iliyostaarabika ambapo hakuna mtu aliye juu ya sheria ila ukijaribu kuzitekeleza kwetu halafu unachagua sheria zipi na wapi na kwa nani uzitekeleze ndiyo inaleta shida.Sehemu za biashara kwenye dunia iliyostaaribika huko pombe zinauzwa masaa 24, Casino zinafanya kazi masaa 24 , malls zinafanya kazi masaa 24. Leo hii tukienda kutembeza bakuli kwao tunadhani hela wanatoa wapi kama sio kupitia ubunifu wa namna hiyo?
Acheni akili za kishamba!
Wapi uko ulipozunguka sehemu za starehe haziruhusiwi kufanya kazi asubuhi?Wapi huko maana nimezunguka sana duniani huko, hizo sheria zipo. Sheria hizi zinamake sense kwa jamii iliyostaarabika ambapo hakuna mtu aliye juu ya sheria ila ukijaribu kuzitekeleza kwetu halafu unachagua sheria zipi na wapi na kwa nani uzitekeleze ndiyo inaleta shida.
Wapi huko maana nimezunguka sana duniani huko, hizo sheria zipo. Sheria hizi zinamake sense kwa jamii iliyostaarabika ambapo hakuna mtu aliye juu ya sheria ila ukijaribu kuzitekeleza kwetu halafu unachagua sheria zipi na wapi na kwa nani uzitekeleze ndiyo inaleta shida.
Casino ni leseni maalumu, na mji mzima unaweza kukuta una casino moja, hauwezi kulinganisha na baa.
Hizi hapa ni sheria za New York:
Off-premises (liquor store or retailer) liquor and wine sales are prohibited between midnight and 8 AM, and until 9 AM on Sundays. On-premises (bar or lounge) sales are prohibited on weekdays between 4 AM and 8 AM, and Sundays between 4 AM and 10 AM.
Mkuu hawa watawala siwakubali kabisa ila kwenye hili siyo sheria ya ajabu. Shida ni kuwa wamepoteza moral authorities ya kusimamia sheria na mtindo wao wa kuchagua wazisimamie kwa nani na lini.Wapi uko ulipozunguka sehemu za starehe haziruhusiwi kufanya kazi asubuhi?
Suala sio Las Vegas au wapi. Wenzetu wanajua namna ya kugeuza maeneo ya starehe kama source nzuri ya mapato. Huku mijitu inawaza starehe ni anasa badala ya source ya mapatoSasa wewe unaongelea Las Vegas, hahahah. Make kwanza hapo ncheke
Usilinganishe huko na sisi ndugu yangu. Wenzetu wanapoweka sheria wanazisimamia ipasavyo. Na ni sheria ambazo pande zote wameangalia wakaona ni sahihi kwa manufaa ya jamii husika.Wapi uko ulipozunguka sehemu za starehe haziruhusiwi kufanya kazi asubuhi?
Kufa ni kufa tu. Hakuna cha mioyo wala nini, ila kujifariji inaruhusiwaWazuri hawafi kwenye mioyo ya watu weweeee
Kifo cha mwili ni cha kila mtu hata wewe utakufa tena utakufa na kusahaulika
Ndo mana mada inasema hata atawale malaika hapa kwetu bila akili za watu kufunguka hatuwezi pata maendeleo ya kweli kamwe.Usilinganishe huko na sisi ndugu yangu. Wenzetu wanapoweka sheria wanazisimamia ipasavyo. Na ni sheria ambazo pande zote wameangalia wakaona ni sahihi kwa manufaa ya jamii husika.
Unaijua Las Vegas ndugu yangu? Kwani ukienda Casino zetu kuna mtu unadhani atakusumbua ukiamua kukesha siku tatu unakula bata? Tena kwa usimamizi wa sheria zetu, bar nyingi tu unaweza ukakesha na hakuna mtu anakubughudhi, ni basi tu wameamua kumtikisa Kalito.Suala sio Las Vegas au wapi. Wenzetu wanajua namna ya kugeuza maeneo ya starehe kama source nzuri ya mapato. Huku mijitu inawaza starehe ni anasa badala ya source ya mapato
Na hiyo ndo shida! kwa nini wamsumbue huyu mwekezaji?Unaijua Las Vegas ndugu yangu? Kwani ukienda Casino zetu kuna mtu unadhani atakusumbua ukiamua kukesha siku tatu unakula bata? Tena kwa usimamizi wa sheria zetu, bar nyingi tu unaweza ukakesha na hakuna mtu anakubughudhi, ni basi tu wameamua kumtikisa Kalito.
Hakuna sehemu duniani inaruhusu holela holela ndugu yangu. Tumeruhusu mambo mengi ya hovyo yaendelee kwenye jamii yetu, ndiyo maana tukianza kuzisimamia sheria tunaona watu wanaonewa.Ndo mana mada inasema hata atawale malaika hapa kwetu bila akili za watu kufunguka hatuwezi pata maendeleo ya kweli kamwe.
Bata ni one of big sources of income kwa sasa duniani. Ndo mana hata Dubai sasa wamerelax regulations zao kuhusu pombe na sehemu zingine duniani huko they earn a lot from maeneo ya bata na wanakuja kutoa misaada huku tunadhani hela wanatoa mbinguni kumbe kwa kutumia akili tu
Una elimu gani we mtu? Watu kufanya starehe zao bila kumbughuzi mtu ndo holela?Hakuna sehemu duniani inaruhusu holela holela ndugu yangu. Tumeruhusu mambo mengi ya hovyo yaendelee kwenye jamii yetu, ndiyo maana tukianza kuzisimamia sheria tunaona watu wanaonewa.
Hizo unazosema Las Vegas ni designated areas na zina sheria zake zinazosimamia. Sisi huku yoyote anaingia popote, ananunua pombe haulizwi hata kitambulisho, miziki inapigwa hovyo hovyo tu, ndiyo unataka tujilinganishe nao?
Tulisema tuige huko mbele na sheria zao, tutabanwa kuliko sasa hivi.