Nilichogundua, Tanzania hata atawale malaika bila akili za watu kufunguka hatuwezi endelea inavyotakiwa kamwe

Kumbe ndio maana unawashwa ukiona mada imeanzishwa ni kuleta hilo jitu lenu
Wazuri hawafi mapema ndio maana JK, Mwinyi wapo

Wazuri hawafi kwenye mioyo ya watu weweeee

Kifo cha mwili ni cha kila mtu hata wewe utakufa tena utakufa na kusahaulika
 
Sehemu za biashara kwenye dunia iliyostaaribika huko pombe zinauzwa masaa 24, Casino zinafanya kazi masaa 24 , malls zinafanya kazi masaa 24. Leo hii tukienda kutembeza bakuli kwao tunadhani hela wanatoa wapi kama sio kupitia ubunifu wa namna hiyo?

Acheni akili za kishamba!
Wapi huko maana nimezunguka sana duniani huko, hizo sheria zipo. Sheria hizi zinamake sense kwa jamii iliyostaarabika ambapo hakuna mtu aliye juu ya sheria ila ukijaribu kuzitekeleza kwetu halafu unachagua sheria zipi na wapi na kwa nani uzitekeleze ndiyo inaleta shida.

Casino ni leseni maalumu, na mji mzima unaweza kukuta una casino moja, hauwezi kulinganisha na baa.

Tena sisi sheria zetu za pombe zipo relaxed mno.

Hizi hapa ni sheria za New York:
Off-premises (liquor store or retailer) liquor and wine sales are prohibited between midnight and 8 AM, and until 9 AM on Sundays. On-premises (bar or lounge) sales are prohibited on weekdays between 4 AM and 8 AM, and Sundays between 4 AM and 10 AM.
 
Wapi huko maana nimezunguka sana duniani huko, hizo sheria zipo. Sheria hizi zinamake sense kwa jamii iliyostaarabika ambapo hakuna mtu aliye juu ya sheria ila ukijaribu kuzitekeleza kwetu halafu unachagua sheria zipi na wapi na kwa nani uzitekeleze ndiyo inaleta shida.
Wapi uko ulipozunguka sehemu za starehe haziruhusiwi kufanya kazi asubuhi?
 
Screenshot_20230103-102323_Chrome.jpg
 
Wapi uko ulipozunguka sehemu za starehe haziruhusiwi kufanya kazi asubuhi?
Mkuu hawa watawala siwakubali kabisa ila kwenye hili siyo sheria ya ajabu. Shida ni kuwa wamepoteza moral authorities ya kusimamia sheria na mtindo wao wa kuchagua wazisimamie kwa nani na lini.

Tena sisi sheria zetu na usimamizi wake ziko relaxed sana.
 
Sasa wewe unaongelea Las Vegas, hahahah. Make kwanza hapo ncheke
Suala sio Las Vegas au wapi. Wenzetu wanajua namna ya kugeuza maeneo ya starehe kama source nzuri ya mapato. Huku mijitu inawaza starehe ni anasa badala ya source ya mapato
 
Wapi uko ulipozunguka sehemu za starehe haziruhusiwi kufanya kazi asubuhi?
Usilinganishe huko na sisi ndugu yangu. Wenzetu wanapoweka sheria wanazisimamia ipasavyo. Na ni sheria ambazo pande zote wameangalia wakaona ni sahihi kwa manufaa ya jamii husika.
 
Wazuri hawafi kwenye mioyo ya watu weweeee

Kifo cha mwili ni cha kila mtu hata wewe utakufa tena utakufa na kusahaulika
Kufa ni kufa tu. Hakuna cha mioyo wala nini, ila kujifariji inaruhusiwa
 
Usilinganishe huko na sisi ndugu yangu. Wenzetu wanapoweka sheria wanazisimamia ipasavyo. Na ni sheria ambazo pande zote wameangalia wakaona ni sahihi kwa manufaa ya jamii husika.
Ndo mana mada inasema hata atawale malaika hapa kwetu bila akili za watu kufunguka hatuwezi pata maendeleo ya kweli kamwe.

Bata ni one of big sources of income kwa sasa duniani. Ndo mana hata Dubai sasa wamerelax regulations zao kuhusu pombe na sehemu zingine duniani huko they earn a lot from maeneo ya bata na wanakuja kutoa misaada huku tunadhani hela wanatoa mbinguni kumbe kwa kutumia akili tu
 
Suala sio Las Vegas au wapi. Wenzetu wanajua namna ya kugeuza maeneo ya starehe kama source nzuri ya mapato. Huku mijitu inawaza starehe ni anasa badala ya source ya mapato
Unaijua Las Vegas ndugu yangu? Kwani ukienda Casino zetu kuna mtu unadhani atakusumbua ukiamua kukesha siku tatu unakula bata? Tena kwa usimamizi wa sheria zetu, bar nyingi tu unaweza ukakesha na hakuna mtu anakubughudhi, ni basi tu wameamua kumtikisa Kalito.
 
Na hiyo ndo shida! kwa nini wamsumbue huyu mwekezaji?

Watu wameanza kuipenda sehemu yake na recently imekuwa ikigain popularity sana. Kwa viongozi wenye akili hapa walitakiwa wachochee hii popularity ya club yake kukua zaidi huku wakiweka mikakati ya kukusanya mapato vizuri kutoka kwenye ukuaji huo.

kwenda kumpiga biti za kishamba ni kuua ile biashara na kukosesha mapato makubwa sana ambayo tungeingiza.

Mie hadi washkaji zangu wakenya walianza kupanga safari kuja bongo kula bata wavuvi keep ila kwa tangazo hili sijui kama wataendelea na mipango yao
 
Ndo mana mada inasema hata atawale malaika hapa kwetu bila akili za watu kufunguka hatuwezi pata maendeleo ya kweli kamwe.

Bata ni one of big sources of income kwa sasa duniani. Ndo mana hata Dubai sasa wamerelax regulations zao kuhusu pombe na sehemu zingine duniani huko they earn a lot from maeneo ya bata na wanakuja kutoa misaada huku tunadhani hela wanatoa mbinguni kumbe kwa kutumia akili tu
Hakuna sehemu duniani inaruhusu holela holela ndugu yangu. Tumeruhusu mambo mengi ya hovyo yaendelee kwenye jamii yetu, ndiyo maana tukianza kuzisimamia sheria tunaona watu wanaonewa.

Hizo unazosema Las Vegas ni designated areas na zina sheria zake zinazosimamia. Sisi huku yoyote anaingia popote, ananunua pombe haulizwi hata kitambulisho, miziki inapigwa hovyo hovyo tu, ndiyo unataka tujilinganishe nao?

Tulisema tuige huko mbele na sheria zao, tutabanwa kuliko sasa hivi.
 
Una elimu gani we mtu? Watu kufanya starehe zao bila kumbughuzi mtu ndo holela?

Nini maana ya holela? Kwani kuna tuhuma za watoto kununua pombe wavuvi kempu? Au haya unayazua wewe?
 
Back
Top Bottom