sophy27 siku ya Wanaume duniani uli repost hii thread. Kweli kabisa Wanaume wanapitia magumu sana kuna mshikaji wangu ana mke wa huko Singida yaani Mwanamke hana shukurani na jamaa anapambana sana kumhudumia pamoja na watoto wake wawili lakini wiki iliyopita Mwanamke kasafisha kila kitu ndani na sasa hivi yupo South Africa.
 
Uu mwanamke mwerevu na kweli nimependa Akili yako.[emoji108]
 
Ooh, kumbe bado wapo wanawake wenye kuiona thamani ya Baba wa familia!? Lina heri tumbo lililokuzaa sophy27
 
Duh.mtu kaz anaanza moja tena.south kapata danga uko nn?
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi hili andiko umeliandika wewe maana sio Sophy kama Sophy huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Be blessed dada sophy27
Mola akufanyie wepesi kwa kila jambo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…