Sio wote wanaotunza familia zao wengi wao wanatunza Malaya .

Hata wasifiweje watu mia mie najua sio waaminifu tunaishi nao Kwa imani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] be careful, kuna mama wa mtu unamuita malaya. Wanawake bana, mpo tayari kujibagua wenyewe kwa wenyewe na kudharauliana hata panapoitajika umoja. Nimeshaona hadi post za wanawake kwenye kubaguana juu ya upendo kwamba upendo wa mke ndio halisi maana alikupenda kama ulivyo ila mama amekupenda kwasababu wewe ni mwanae. Yaani mnamindset za ubinafsi na uchoyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mungu awasaidie tu!
 
Malaya nlmalaya Malaya acha ndoa za wenzako
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi hili andiko umeliandika wewe maana sio Sophy kama Sophy huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo unanichukuliaje kwani😂😂😂😂
 
Safiiii sana
 
Ningeshauri ule wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki wakutaje mule, Tuliimbe jina lako kila tukiimba nyimbo hizo
 
Sawa 🙏
Kunawanawake wanaroho ngumu sana
 

Dah umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita
 
We
We ni ke kumbe sikujuaga
 
Mwanamke mwenye moyo huu na mtazamo huu ndiyo anastahili hasa Ndoa na kupewa heshima.

Kama unaweza mkumbuka baba yako kwa mema aliyokutendea kwa huo muda mfupi basi utamkumbuka Mwanaume atakaye ambatana nawe katika maisha haya.

Hongera sana
 
Mbinguni utakaa pembeni ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…