kuna mmoja jamaa ake alikuwa akimpa hela kanunue nguo uvae upendeze mke wangu, alivyovaa akapendeza akaanza kuleta dharau kwa jamaa, mwamba akaona sio shida tumwagane, bibie akaanza kudai tugawane vitu tumechuma wote jamaa kamwambia haina haja ya kugawana we unachoona unakitaka kibebe hata ukitaka chumba chote, bibie akabeba alivojisikia kubeba akasepa, haikuchukua miezi mitatu aisee alivisukuma vile vitu kimoja kimoja hatimae akarudi kwa msela kuomba msamaha, msela kamwambia tulikuwa
tumepambana chumba kimejaa kwa ujinga wako saa hz ndo kama naanza maisha alafu unarudi mikono mitupu, we nenda tu. Alirudi kwao mbeya yule dada baada ya maisha kumpiga sana kila anachoshika ni kama kinaparaganyika
 
DeepPond upitie huku mkuu
 
Sometimes tunaishi nao kwa sababu ya future ya watoto angalau wabalance. Malezi ukamilika panapo baba na mama.
Unakuta mwanaume kahangaika kutwa nzima kashinda njaa anatembea kwa miguu kurudi home njaa siri yake, kampiga mzima rafiki yake kampa elf 2.
Anaona ni bora akanyage mguu angalau wanunue Mihogo au wali Kavu na mchuzi wa nyanya Ili familia isipite kapa usiku sababu imeshinda njaa. Akifika home anaambulia matusi kwa mke asiye na busara. Pesa haijifichi ukiwa nayo. Ukiwa na busara huwezi kwenda jela kisa mapenzi.
 
Karma is a bitch 🤣🤣🤣🤣👿
 
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.[emoji1545][emoji818][emoji817][emoji2827]
 
aisee kweli umekuwa....lakini hizi zisije kuwa swaga za kutafuta mume hahahaha. mambo mrembo
 
Dada umesamehewa dhambi zako zote kuanzia Sasa na hata milele
 
Chagua eneo ambalo ungependele Sanamu lako lijengwe il ujenz uanze mara moja

Umeongea point kubwa sana👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…