bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Sijui unasoma mitandao gani lakini humu jamiiforum kila siku ni malalamiko na matusi kwa wanawakeUmetisha dada japo kwenye mitandao hasa page za mahusiano wanaume ndio tuna makosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui unasoma mitandao gani lakini humu jamiiforum kila siku ni malalamiko na matusi kwa wanawakeUmetisha dada japo kwenye mitandao hasa page za mahusiano wanaume ndio tuna makosa
DeepPond upitie huku mkuukuna mmoja jamaa ake alikuwa akimpa hela kanunue nguo uvae upendeze mke wangu, alivyovaa akapendeza akaanza kuleta dharau kwa jamaa, mwamba akaona sio shida tumwagane, bibie akaanza kudai tugawane vitu tumechuma wote jamaa kamwambia haina haja ya kugawana we unachoona unakitaka kibebe hata ukitaka chumba chote, bibie akabeba alivojisikia kubeba akasepa, haikuchukua miezi mitatu aisee alivisukuma vile vitu kimoja kimoja hatimae akarudi kwa msela kuomba msamaha, msela kamwambia tulikuwa
tumepambana chumba kimejaa kwa ujinga wako saa hz ndo kama naanza maisha alafu unarudi mikono mitupu, we nenda tu. Alirudi kwao mbeya yule dada baada ya maisha kumpiga sana kila anachoshika ni kama kinaparaganyika
Hatimaye tumeongezeka tunaoona upande wa Pili unaostahili huruma na pongez kwa wanaume
Karma is a bitch 🤣🤣🤣🤣👿kuna mmoja jamaa ake alikuwa akimpa hela kanunue nguo uvae upendeze mke wangu, alivyovaa akapendeza akaanza kuleta dharau kwa jamaa, mwamba akaona sio shida tumwagane, bibie akaanza kudai tugawane vitu tumechuma wote jamaa kamwambia haina haja ya kugawana we unachoona unakitaka kibebe hata ukitaka chumba chote, bibie akabeba alivojisikia kubeba akasepa, haikuchukua miezi mitatu aisee alivisukuma vile vitu kimoja kimoja hatimae akarudi kwa msela kuomba msamaha, msela kamwambia tulikuwa
tumepambana chumba kimejaa kwa ujinga wako saa hz ndo kama naanza maisha alafu unarudi mikono mitupu, we nenda tu. Alirudi kwao mbeya yule dada baada ya maisha kumpiga sana kila anachoshika ni kama kinaparaganyika
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.Natumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya[emoji3] pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
aisee kweli umekuwa....lakini hizi zisije kuwa swaga za kutafuta mume hahahaha. mambo mremboNatumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Naleta fundi na nondo na kokotosophy27 najitolea mifuko miwili ya cement kwa ajiri ya ujenzi wa sanamu lako
Dada umesamehewa dhambi zako zote kuanzia Sasa na hata mileleKuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Finishing atafanya zumbemkuuNaleta fundi na nondo na kokoto
Chagua eneo ambalo ungependele Sanamu lako lijengwe il ujenz uanze mara mojaNatumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Una KESI ya kujibu... hope uko poa. Huyu binti kaongea ukweli mchungu sanaNakupenda sophy27 japo tunaowakumbuka kila siku kutupondea😏