Huwa namuangalia Mume wangu jinsi ambavyo anahakikisha tupo comfortable kila siku, hawazi another pair of shoe au cloth for himself before taking care of us...ni Mume na Baba bora sana kwetu. Sijui hata maisha yangekuwaje bila yeye. Najua najitahidi sana kuwa mke bora na labda sifanyi kilakitu sawa ila hata kwa kidogo naamini anajua nathamini sana kila anachofanya na ni maombi yangu Mungu azidi kumtunza na kumbariki.


Asante sana kwa kutukumbusha kuwashukuru na kuthamini juhudi zao za kutunza familia ni rahisi sana kuchukulia poa kwasababu ya kuwa ni jukumu lao.
 
Jitahidi angalau umtamkie haya kuwa...wewe ni mume na baba bora.
Hii itazidi kumpa nguvu ya kuwapambania
 
Mateso ndio uanaume wenyewe huo.
Ukakamavu, subira, maamuzi, mapambano, na hekima.

Mke akizingua hatuna muda wa kumpondea Kwa Watoto au ndani ya jamii.

Wanaume ni ngumu kumpondea MKE au Mama zetu hata kama tunajua amekosea.
Mara nyingi tunatumia neno jumuishi Wanawake kuwaponda wote.

Ila ni ngumu kuwa specific kuwa MKE au Mama yangu ni mshenzi.
Ila Wanawake wanatumia maneno jumuishi na Mahususi kutuponda Wanaume na waume au Baba zao.
 
Untold truth
 
Kama mwanaume nimefarijika sana kuona hii appreciation.

MUNGU AKUBARIKI.
 
Hakika hii ni siku njema sana kuwahi kutokea ndani ya january 2023, ujumbe mzuri uliosheheni upendo ambao ni wanawake wachache hutambua na kuyaishi hayo. Kuielewa hali ya mumeo ni jambo la muhimu lakini kuishi nae kuvumilia na kumuombea kwa hali hiyo ni Upendo wa kweli. Barikiwa sana sophy27 😘, nipo natafuta location nzuri ya kujenga sanamu yako. Upewe ulinzi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…